Gari aina ya 'Noah' naomba zipigwe marufuku kubeba abiria

Gari aina ya 'Noah' naomba zipigwe marufuku kubeba abiria

OTE="jogi, post: 17968122, member: 26923"]Umeshatengeneza mbadala wake?
Kwani kabla ya Noa si Hiace zilikuwepo? Kwa jinsi ambavyo wabongo tu napenda ku maximize profits Noa hazifai kwa biashara, watumie Toyota Hiace.[/QUOTE]
Hata zkitoka madriver cni wale waleeee?..au tubdilishe na madriver
 
Kutokana sasahivi kumetapakaa hizi gari aina ya Noah kujihusisha na biashara ya kubeba abiria hadi uchochoroni, gari hizi zimegeuka kuwa chanzo cha mauaji kwakuwa zinaendeshwa na madreva wasiozingatia sheria, wengi wao wakiwa ni wale mabodaboda, wakibeba abiria siti za mbele wanabeba watu watatu hadi wanine, nyuma kwenye buti wanapakiza abiria, barabarani wanaendesha kwa fujo bila tahadhari kama wafanyavyo mabodaboda.

Naomba serikali ipige marufuku huu usafili utaangamiza raia kwa ajali.

AJALI INA KINGA; CHUKUA TAHADHALI

View attachment 414640
Gari ina kosa gani? Madereva ndio shida
 
Nikiangalia hiyo picha sielewi naona kama mjini na amepataje ajali mbaya hivyo sehemu hiyo utadhani picha ya kutengeneza Japo inaonyesha ni tukio la kweli,hapo Kuna jambo lazima dereva atakuwa alikuwa keroro(viroba kadhaa kichwani)
 
Back
Top Bottom