Nina gari aina ya Noah nataka kuanza biashara ya kubeba abiria, naomba kujua njia gani ina wateja wengi

alcacer

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
238
201
Habari za muda huu.., nakuja mojaKwamoja kwenye mada kuna gari ya Home ni ya mshua aina ya noah nataka nianze kupiga ruti za kutafuta hela ila sijui paKuanzia.

Nipeni ruti za kupiga hela au kama kuna madereva wenye experience ni ruti zip zina hela.

AHSANTENI SANA PIA NAWAKALIBISHA PM.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom