gari aina ya alteza....

gari aina ya alteza....

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
419
Reaction score
217
ningependa watu wanaoijua vizuri gari hii...wanisaidie...mapungufu yake....pia...naipenda.....mungu akijalia....soon..nataka nichukue
 
Six cylinder tabia yake huwa inakunywa sana mafuta.Lita moja kwa Km 9
 
ok...nafikiri ulaji wake wa mafuta ni wakawaida tu
 
jipange mafuta tu mkuu ila hata spea zake majanga kweli

Majanga una maanisha nini???!!!!

Kama una taka gari ya ujana kwa bei ya wastani utayoenjoy nayo town na safarini kama uendako ni lami chukua hiyo gari na wala hutojuta!!!!!!

Suala la mafuta ni uwezo wako sasa!!!!
 
chukua grande gx 110 mkuu, ina comfortability ndani ya gari, ipo stable barabarani na ina nguvu
 
Majanga una maanisha nini???!!!!

Kama una taka gari ya ujana kwa bei ya wastani utayoenjoy nayo town na safarini kama uendako ni lami chukua hiyo gari na wala hutojuta!!!!!!

Suala la mafuta ni uwezo wako sasa!!!!

kaka watu wanachekesha sana....lita 1 kwa km 9 mtu analalamika.....
 
ka uko interested ni pm kuna yangu nimechukua mwaka jana nataka kubadili gari utakuja kuiona ipo safi kabisa ka tukikubaliana bei.mafuta ni kawaida it depends with ur income.ila iko confortable
 
Kama ina engine ya beams 2000 iliyoko pia kwenye gx 100, ichukue. Engine hii ikiwa mpya huweza kwenda hadi km 100 kwa 6 liters. Na kwenye high way ndo inakula even more less. Bse bongo tunanunua gari used, engine hii huwa ni ngumu na hivo haipotez sana its original efficiency.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom