Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,004
Habari zenu?
Nahitaji kijana mmoja anayeweza kufanya kazi ya receptionist na house keeping.
SIFA:
Awe ni kijana wa kitanzania na aliye tayari kuishi eneo la kazi hapa Arusha.
Awe ana jua kuongea na kuandika kiingereza na kishwahili
Awe anajua kufanya kazi za mapokezi kwa ufasaha
Awe anajua kufanya usafi na shughuli nyingine ndogondogo
Awe anajua kuandaa chai
Awe ni muaminifu na mwenye tabasamu halisi
Awe na uzoefu wa kuhudumia wateja hasa wazungu
Awe ni mtu mwenye nidamu kwa wageni na wafanya kazi wenzake
Maombi yatumwe kwenda mbuyi83@yahoo.com
Siku ya Interview ni Jumatatu 23/03/2015 kuanzia saa TATU asubuhi. Hosteli yetu ipo eneo la Morovian (kati ya Mianzini na Triple A night club)
NB: Usipoteze muda wako kutuma maombi kama huna SIFA tajwa hapo juu.