Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
- Thread starter
- #81
Ndio wapi hukoNilidhani Kiwalani kwa mamakimbo.
Zinaleta hamasa na kutupa ujuzi wa waliotutangulia kwa mfano mimi sasa nategemea kufanya kitu kama hikiHapa nilitegemea kuona kila mmoja alichokifanya badala yake naona bustani za kusadikika! Kwa bistani hizi za kusadikika hatuwezi kubadilishana maua au ujuzi kwenye utunzaji wa hayo maua, kama kuweka picha zipo nyingi sana mitandaoni.
Hii angalia kwenye picha ya cottage yangu.Zinaleta hamasa na kutupa ujuzi wa waliotutangulia kwa mfano mimi sasa nategemea kufanya kitu kama hikiView attachment 2894625View attachment 2894626
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nitumie tagadhali nami nikikamulisha yangu nitatuma[emoji1545]Hii angalia kwenye picha ya cottage yangu.
Hebu nitumie tagadhali nami nikikamulisha yangu nitatuma[emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app