Garden za kuchezea watoto

Garden za kuchezea watoto

Teh teh het tee eti garden watengenezee tu hapo kwako mjomba vinginevyo safiri mpaka nairobi hivyo vitu utavipata kwa tanzania bado kabisa.

hasa kwa maeneo aliyoyataja, labda angekuwa anazungumzia oysterbay, masaki, posta, mbezi beach nk lakini pugu? g/la mboto? chanika? sidhani
 
Nakushauri tafuta mahali hata uwanja wa shule pamba vitu unavyoona vinawavutia watoto ita pia na watoto wa mtaani kwako enjoy Birth day.
BIRTHDAY NZURI YA MTOTO NI ILE YA KUFURAIA NA WATOTO WENZAKE WA KARIBU.
 
Maeneo mengi ya kuchezea watoto zimeuzwa na serikali hii ya ccm
 
CHE GUEVARA-II
Sadan siyo mbali ni hapo bagamoyo tu,kama unataka karibu huko hutapata.labda uwapeleke garden ya airport:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Last edited by a moderator:
hasa kwa maeneo aliyoyataja, labda angekuwa anazungumzia oysterbay, masaki, posta, mbezi beach nk lakini pugu? g/la mboto? chanika? sidhani
huko obey,masaki,posta,mbezi beach kuna garden kwa ajili ya watoto/michezo ?ninavyojua mimi hata huko hakuna kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom