Garasha za Nakaaya Sumari

kumbe wimbo wake unapigwa badoo..keep it up nakaaya.remember AMINA FOR LIFE....fuata nyayo kama ulivoamua kuvua cadet zile,UNGEPOTEA MWANMKE MWENZANGU..usikate tamaa karibu mjengoniii 2015
Magamba on duty! Kumbe ndio kapatia njia mi nilifikiri kapotea loh
 
Basi yaelekea njia ya magamba ni ile nyembamba yenye miba. Ila hii ni miba daima dawamu
 
Afadhali kadanganyika mapema, maana huenda angefika mjengoni angekuwa jamii ya John Shibuda wa Maswa, wanakera sana. Live bila kificho inaonyesha ni kwa jinsi gani alivyo hana msimamo... Kibendera fuata upepo.
 
Back
Top Bottom