Garasha za Nakaaya Sumari

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,882
2,762
Niko kwenye gari naelekea mzigoni. Hewani nasikia kibao chake cha mr politician. Namkumbuka na kumuonea huruma. Hii ni mara ya pili analamba joka na mtu ana kaunti. Mara ya kwanza ni aliposain mkataba feki na sony. Mara ya pili ni pale alipovua gwanda na kuvaa kitenge. Leo hii hakika angekuwa mahali pema mjengoni pamoja na sugu-wakiweka uwiano wa kijinsia dhidi ya uwakilishi wa wasanii na vijana. Anajuuta sasa. Nakaaya uko wapi dada? Ulianza vyema. Jipange tena, dada
 
Leo hii hakika angekuwa mahali pema mjengoni pamoja na sugu-wakiweka uwiano wa kijinsia dhidi ya uwakilishi wa wasanii na vijana.

Kwa hiyo sababu ya msingi ya yeye kuwa na magandwa/ magwanda ni ili APEWE ubunge?
 
we bakteria bana. Kila binadam anasumbukia maslahi. Hata alipoenda chamani ilikuwa ni maslahi anafuata huko. Au uongo?
 
Unajua watu wanashindwa kusoma alama za nyakati!huyu m dada alishindwa kuzisoma alama za nyakati!kwamba upepo unaelekea wapi!

Kwani kuna mtu yeyote aliyeweza kuwaza kuwa ipo siku budget itagomewa na wabunge?la hasha!wajue watu wanabadilika na huwezi kumdanganya mtu kila siku ipo siku atachoka kuusikiliza huo upupu wako! Cha muhimu fanya mambo yako in good faith utaona kama kuna kitu utashindwa!
 
Anaitwa Nakaaya a.k.a MAWENGE yupo arusha bana,alaf cku izi ni teja wa madawa ya kulevya,juz kati apa kwa wa2 wanaojua mbauda alpata bonge la ajal,alkuwa upo unga laana kasi vbaya akaltukza gar mtaroni,maunga yake 2nayo mpaka leo kwaiyo kama ameshatoka hosp aje achukue.
 
Imekula kwake....hasomi alama za nyakati. Nadhani pia udogo wa shule yake umemkosesa akili ya kutafakari... Rest in peace
 
Kwa kweli huyu dada alizicheza vibaya karata zake.........hata katika anga za muziki hasikiki!!
 
Anaitwa Nakaaya a.k.a MAWENGE yupo arusha bana,alaf cku izi ni teja wa madawa ya kulevya,juz kati apa kwa wa2 wanaojua mbauda alpata bonge la ajal,alkuwa upo unga laana kasi vbaya akaltukza gar mtaroni,maunga yake 2nayo mpaka leo kwaiyo kama ameshatoka hosp aje achukue.
mh! Hii mupya. Kwa hiyo anatibu majeraha ya kampeni kwa unga?
 
kumbe wimbo wake unapigwa badoo..keep it up nakaaya.remember AMINA FOR LIFE....fuata nyayo kama ulivoamua kuvua cadet zile,UNGEPOTEA MWANMKE MWENZANGU..usikate tamaa karibu mjengoniii 2015
 
Kwa kweli huyu dada alizicheza vibaya karata zake.........hata katika anga za muziki hasikiki!!
Nakumbuka siku hiyo anarudisha kadi ya cdm nilikuwa arusha, kipindi jk anamnadi Batilda Buriani...huyu binti alipewa cha juu..akaikana cdm, bora amejipambanua mapema mana angekuwa shushu kama wengine wanavyotusaliti sasa hivi..
 
kumbe wimbo wake unapigwa badoo..keep it up nakaaya.remember AMINA FOR LIFE....fuata nyayo kama ulivoamua kuvua cadet zile,UNGEPOTEA MWANMKE MWENZANGU..usikate tamaa karibu mjengoniii 2015
apotee mara ngapi?
 
Hah ahahhaaa nawe utanikuta
minister for mineral and natural resources TO COME!
 
Niko kwenye gari naelekea mzigoni. Hewani nasikia kibao chake cha mr politician. Namkumbuka na kumuonea huruma. Hii ni mara ya pili analamba joka na mtu ana kaunti. Mara ya kwanza ni aliposain mkataba feki na sony. Mara ya pili ni pale alipovua gwanda na kuvaa kitenge. Leo hii hakika angekuwa mahali pema mjengoni pamoja na sugu-wakiweka uwiano wa kijinsia dhidi ya uwakilishi wa wasanii na vijana. Anajuuta sasa. Nakaaya uko wapi dada? Ulianza vyema. Jipange tena, dada

Aliruka majivu na kukanyaga moto!!..khe khe khe
 
Back
Top Bottom