Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,110
- 9,278
Hope mpo poa wadau,
naombe msaada wa kupata GAMES kwa ajili ya watoto maana likizo hii wapo home so wanahitaji michezo ya Ndani muda mwingine.
Shukrani kwa wote watakao nisaidia.
Note:
Ni za kwenye PC tu na sio Playstations.