D dogo sanja New Member Joined Nov 8, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Mar 23, 2012 #1 Hi!Wana jf,simu yangu aina ya nokia 3230 hai delete games,haina options za kudelete,naombeni msaada wakuu,pia streaming settings za hii simu
Hi!Wana jf,simu yangu aina ya nokia 3230 hai delete games,haina options za kudelete,naombeni msaada wakuu,pia streaming settings za hii simu
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Mar 24, 2012 #2 Mkuu nadhani kuna zile applications zinakuja na simu zikiwemo games huwa hazina option ya kuzidelete labda zile ulizo install wewe lakini sio zile zilizokuja na simu toka kiwandani
Mkuu nadhani kuna zile applications zinakuja na simu zikiwemo games huwa hazina option ya kuzidelete labda zile ulizo install wewe lakini sio zile zilizokuja na simu toka kiwandani
D dogo sanja New Member Joined Nov 8, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Apr 3, 2012 Thread starter #3 hapana mkuu,hata games nilizodownload hazifutiki,hamna hiyo option
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,262 Reaction score 44,385 Apr 3, 2012 #4 dogo sanja said: hapana mkuu,hata games nilizodownload hazifutiki,hamna hiyo option Click to expand... Simu yako ni symbian s60v1 hazina oprtiona ya delete kama unavofkiri wewe ila kuna option 2 za kudelete kwanza navigate hadi uipate hio application bonyeza option then remove Ukishindwa hivo nenda application manager utaona list ya games na application we delete unayoitaka
dogo sanja said: hapana mkuu,hata games nilizodownload hazifutiki,hamna hiyo option Click to expand... Simu yako ni symbian s60v1 hazina oprtiona ya delete kama unavofkiri wewe ila kuna option 2 za kudelete kwanza navigate hadi uipate hio application bonyeza option then remove Ukishindwa hivo nenda application manager utaona list ya games na application we delete unayoitaka