sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
mi niliidownload kwenye torrent game ikiwa imeshawekwa hiyo mod tayari...nimejaaribu kuitafuta ile link siioni..ila zipo mod unaweza kuzipata online ingawa inabidi uwe makini wakati wa ku enable mods maana nyingine huwa zina crash sana game..Mkuu naomba link ya hii game niipakue naitafuta sana..