Game of death ni movie ya mwisho ya bruce lee ku act kabla ya umauti kumfika, katika movie hii hayati bruce lee hakufanikiwa kumaliza ku shoot scenes zote hivyo baadhi ya vipande walivimalizia actors kadhaa ambao wanamuonekano wa kufanana na bruce
Scenes kama ya mazishi yake ilikua ni kweli na baadhi ya scenes zilichukuliwaa kutoka katika movies zake za awali zikaunganishwa katika movie iyo