Amna bhn mkuu gaming ni life style😁Ushanyoosha nguo za kina junior kesho shule na mume wa dadaako kesho kazn
hahaha usilolijua sawa na usiku wa GizaUshanyoosha nguo za kina junior kesho shule na mume wa dadaako kesho kazn
real boxing 2Gamers kwema, nina PS4. Nahitaji game la vita zuri kwa ajili ya online.
Nimetokea kulipenda sana Warzone, ila halikubali kwenye PS4; ni la PS5 tu. Hivyo, naomba msaada, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?