Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

Asante kwa mrejesho. King kupiga masafa inategemeana na sheria uliyochagua wakati wa kuanza game. Unaweza chagua sheria ya Tanzania
 
Hongera sana! Wanaotaka kushindana kwa pesa, vipi hiyo mkuu, utawawekea option yao?
Asante ni wazo zuri. hiyo itakua ni kama kamari na Google play store hawaruhusu kuweka app au games za kamari au zinazowezesha kamari kufanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…