Asante kwa mrejesho. inategemea Aina ya sheria uliyochagua. Inaonesha umechagua sheria ya American, ila kwa Sasa nimeliboresha sana nimeongeza sheria nyingi ikiwepo ya Tanzania, chagua hapo ya Tanzania utaweza kucheza kwa sheria zetu. Pia nimeongeza sehemu ya mashabiki wanaweza kuangalia mechi live vinazoendela kuchezwa. pia unaweza angalia game zilizopita pia.Nikupongeze kwa idea nzuri
Ila inabidi uifanyie maboresho kidogo
Game yako 'king' haitembei inacheza kama kete ya kawaoda wakati imapaswa kutembea
Asante kwa mrejesho. Limbeboreshwa jaribu tenaMkuu game lako linazingua, nimejaribu kucreate code kwa ajili ya friend match online lkn haikubali kuconnect, nikishare mtu anajoin ila kwangu inaandika tu game starting.
robbyl
View attachment 3577147
Asante kwa mrejesho. Nfanyia kazi nitakujulisha
Nimejaribu kwangu naona inafanya kazi, anajoin kwa njia gani code au link? Pia ni game version gani maana mnatakiwa wote muwe na latest game version. Tafadali tuwasiliane inbox kwa msaada zaidi pia itanisaidia kurekebisha kwa urahisiAsante kwa mrejesho. Nfanyia kazi nitakujulisha