Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana.
Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush
Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo.
Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani katika uwanja wa ushindani wa mtandaoni.
Cheza na Marafiki – Unda mechi yako binafsi na mshirikishe rafiki yako (game code) ili mcheze pamoja kutoka popote mlipo.
Aina Mbalimbali za sheria (Game Variants) – Chagua sheria unazopenda, ikiwemo ya Tanzania, Kimataifa, Marekani, na nyinginezo nyingi.
Cheza dhidi ya Akili Unde (AI)
Ubao wa Wanaoongoza (Leaderboard) – Shindana na wenzako ili kupanda viwango na kuwa bingwa namba moja wa Kimataifa au Tanzania.
Marudio ya Mechi (Match Replays) – Tazama michezo yako ya awali au michezo ya wachezaji bora ili kujifunza mbinu mpya na kuboresha uchezaji wako.
Hali ya Kutazama (Spectator Mode) – Tazama mechi zinazoendelea moja kwa moja (live) kati ya wachezaji wengine.