Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

robbyl

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
461
Reaction score
465
Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana.
Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush
Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo.

Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani katika uwanja wa ushindani wa mtandaoni.

Cheza na Marafiki – Unda mechi yako binafsi na mshirikishe rafiki yako (game code) ili mcheze pamoja kutoka popote mlipo.

Aina Mbalimbali za sheria (Game Variants) – Chagua sheria unazopenda, ikiwemo ya Tanzania, Kimataifa, Marekani, na nyinginezo nyingi.

Cheza dhidi ya Akili Unde (AI)
Ubao wa Wanaoongoza (Leaderboard)
– Shindana na wenzako ili kupanda viwango na kuwa bingwa namba moja wa Kimataifa au Tanzania.

Marudio ya Mechi (Match Replays) – Tazama michezo yako ya awali au michezo ya wachezaji bora ili kujifunza mbinu mpya na kuboresha uchezaji wako.

Hali ya Kutazama (Spectator Mode) – Tazama mechi zinazoendelea moja kwa moja (live) kati ya wachezaji wengine.
Screenshot_20260321_021928.png
Screenshot_20260321_025045.png
Screenshot_20260321_125003.png
Screenshot_20260321_023127.png
Screenshot_20260321_021953.png
Screenshot_20260321_024942.png
Screenshot_20260321_024913.png
Screenshot_20260321_025412.png
 
Level ipi? maana difficulty level unachagua mwenyewe unayotaka from easy to Nightmare ukiwa unacheza against AI
 
Game limeboreshwa sasa unaweza kufuata (Follow wachezaji wengine) hii itapeleka baadae kupokea Notification kwenye simu yako pindi mchezaji uliyemfollow akiwa anacheza game live na wewe unaweza ingia ukaona namna anavyocheza live (Unakua shabiki/Mtazamaji). Pia inakua inaonesha idadi ya mashabiki
shabiki.jpeg
 
Back
Top Bottom