Philosopher123
Member
- Mar 20, 2017
- 7
- 2
Rekebisha urlNingependa ku share game fulani nilikuwa nikitengeneza, japo bado haijakmilika nina mpango wa kuiendeleza with time. kwa wale ambao wanaona wanaweza kusaidia development nawakaribisha sana.
Here is a link to the folder-https://1drv.ms/f/s!ArHdHPiw34bx4TI6PZXwZfr8Ub5i
Safi sana. Mm nilikua napenda sn kufanya hiki kitu. Na nilijifunza kidogo kuitumia hii software ya blender lakini niliona kwangu km kunavitu vingine nakosa nikajaribu kutafuta software yngne ambayo wanaita maya ndio naendelea kujifundisha mm mwenyewe japo vitu vingi vina fanana na blender. Dah! Mkuu uko mbali sn nakupa hongera sn kwa hapo ulipofika mana kazi yake cndongo. Ila lengo langu mm sikutengeneza games lengo langu kutengeneza 3d animation movies.Ningependa ku share game fulani nilikuwa nikitengeneza, japo bado haijakmilika nina mpango wa kuiendeleza with time. kwa wale ambao wanaona wanaweza kusaidia development nawakaribisha sana.
Here is a link to the folder-https://1drv.ms/f/s!ArHdHPiw34bx4TI6PZXwZfr8Ub5i
mkuu, mimi naishi na hii ndoto. Mungu ni mwema. ItatimiaSafi sana. Mm nilikua napenda sn kufanya hiki kitu. Na nilijifunza kidogo kuitumia hii software ya blender lakini niliona kwangu km kunavitu vingine nakosa nikajaribu kutafuta software yngne ambayo wanaita maya ndio naendelea kujifundisha mm mwenyewe japo vitu vingi vina fanana na blender. Dah! Mkuu uko mbali sn nakupa hongera sn kwa hapo ulipofika mana kazi yake cndongo. Ila lengo langu mm sikutengeneza games lengo langu kutengeneza 3d animation movies.
mkuu weka link.here are some screenshots
Safi sn. Namini watatoka watu wengi sn ktk hili. Siku na mm nitarusha kazi yng. Ila kikubwa kushilikiana na kubadilishana utalam. Mm cjasomea hivi vi2 ila namini nakipaji na sana juu yake. Ww uko wapi mkuu.mkuu, mimi naishi na hii ndoto. Mungu ni mwema. Itatimia
daa asante ase, ni weli nimetumia blender na sio ngumu sana lakini ina bidi uangalie tutorial mbalimbali.Safi sana. Mm nilikua napenda sn kufanya hiki kitu. Na nilijifunza kidogo kuitumia hii software ya blender lakini niliona kwangu km kunavitu vingine nakosa nikajaribu kutafuta software yngne ambayo wanaita maya ndio naendelea kujifundisha mm mwenyewe japo vitu vingi vina fanana na blender. Dah! Mkuu uko mbali sn nakupa hongera sn kwa hapo ulipofika mana kazi yake cndongo. Ila lengo langu mm sikutengeneza games lengo langu kutengeneza 3d animation movies.
Asante mkuuuko vizuri hongera