ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,886
- 3,310
Mkuu pad inapatikana wap na bei gani?una pad? download pes la psp na emulator ya psp inaitwa ppsspp halafu enjoy mpira.
![]()
Mkuu pad inapatikana wap na bei gani?una pad? download pes la psp na emulator ya psp inaitwa ppsspp halafu enjoy mpira.
![]()
za kichina za waya ni 10,000 tu, ila mpaka simu yako iwe na usb otg na kile kiwaya cha kuunganishia ambacho kinauzwa 3,000. vyote unapata aggrey. sema ubaya wa pad za waya ni kwamba huwezi kucheza huku unachaji simu.Mkuu pad inapatikana wap na bei gani?
Dream league 2016 Mpaka jana nimecheza utamu mpaka saa 6usiku..wananiboa penalt kipa wao hawezi kudaka[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Dream league liko vizuri sana ila kuwa makini maana ukianza kushinda mechi moja unazidi kunogewa (mpaka kukamilisha ligi waweza tumia sio chini ya saa moja na dakika ushehe hv)
Angalia usije akanogewa ukose usingizi, mimi huwa nalicheza nikichoka na unstall nikitaka tena na downloadDream league 2016 Mpaka jana nimecheza utamu mpaka saa 6usiku..wananiboa penalt kipa wao hawezi kudaka[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Ninogewe mara ngapi kaka..wakati nikiwa kitandani nikikosa usingizi pia nalianzisha, nilikuwa natumia ile soccer evo ila tangu nilivyoanza kutumia dream league sikuigusa tenaAngalia usije akanogewa ukose usingizi, mimi huwa nalicheza nikichoka na unstall nikitaka tena na download
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupatwa kwa dream leagueNinogewe mara ngapi kaka..wakati nikiwa kitandani nikikosa usingizi pia nalianzisha, nilikuwa natumia ile soccer evo ila tangu nilivyoanza kutumia dream league sikuigusa tena
Hiyo game, utam hadi uwe uma hack zile coin uwe nazo nyingi.Ninogewe mara ngapi kaka..wakati nikiwa kitandani nikikosa usingizi pia nalianzisha, nilikuwa natumia ile soccer evo ila tangu nilivyoanza kutumia dream league sikuigusa tena
Sasa mkuu kama amekosea si ungemwelewesha aandikaje????Dream League 2016 hope I'll enjoy download it from Google play store
Mkuu ungeandika tu kiswahili...
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hiyo game, utam hadi uwe uma hack zile coin uwe nazo nyingi.
Maana hapo bado upo ligi ya mchangani.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupatwa kwa dream league
za kichina za waya ni 10,000 tu, ila mpaka simu yako iwe na usb otg na kile kiwaya cha kuunganishia ambacho kinauzwa 3,000. vyote unapata aggrey. sema ubaya wa pad za waya ni kwamba huwezi kucheza huku unachaji simu.
pad za bluetooth bei zake ni ghali, around 50,000 hivi, sijajaribu pad za wifi kama zinakubali na ppsspp ila nazo zipo around 30,000
ndio inayo mkuuAsante mkuu mimi simu yangu ni samsung galaxy note 3 je inasapoti otg.
Halafu sorry once again chief naskia habari za virtual reality(VR)gear je katika note 3 inasapoti?ndio inayo mkuu
simu yoyote yenye kioo kikubwa kubwa inasapoti ikiwemo yako. sema utahitaji cardboard vr. zimejaa kibao aggrey naziona na kupatana hadi 40,000. ila usitegemee quality kubwa kwenye hio note 3Halafu sorry once again chief naskia habari za virtual reality(VR)gear je katika note 3 inasapoti?
cardboard mkuu ndo ipoje na kiukweli napenda sana niipate hiyo vr gear.simu yoyote yenye kioo kikubwa kubwa inasapoti ikiwemo yako. sema utahitaji cardboard vr. zimejaa kibao aggrey naziona na kupatana hadi 40,000. ila usitegemee quality kubwa kwenye hio note 3
yoyote utakayoiona inauzwa bei rahisi chini ya laki 2 ni cardboardcardboard mkuu ndo ipoje na kiukweli napenda sana niipate hiyo vr gear.
Hacker hans, hebu nipe maujanja ni hack maana coins za kuwanunulia wachezaji hazinitoshiHiyo game, utam hadi uwe uma hack zile coin uwe nazo nyingi.
Maana hapo bado upo ligi ya mchangani.
Unatakiwa simu uwe ume root?Hacker hans, hebu nipe maujanja ni hack maana coins za kuwanunulia wachezaji hazinitoshi
Achaaaaa, magoli 20 labda match za mchangani[emoji13]dream league mechi unashinda hadi magoli 20 halina hata ladha
![]()