Others
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,205
- 2,822
Bonge la game
Atari mkuu tena hyo unaipata hata offline, mm nililifuta kwa bahati mby hapo city walikuwa washanitia 3 apo nlikuwa napambana kupindua matokeoBonge la game
Tafuta dls 20, nipo level ya 81. Euro Truck Driver - Level 74.
2. Dream League Soccer 19 - Limeisha hilo mpaka mwisho (Ultimate challenge), nafanya marudio tu. NOTE : Hii ni unlimited money so natembea ka upepo wa kisulisuli.
Mkuu bado una PUBGKweny ball hakuna kama pes 2020 mobile kwenye shooting and mission hakuna kama pubg mobile yaan ni nooma View attachment 1250732