Game designers in Tanzania

Game designers in Tanzania

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,275
Jamani nahitaji kuwatambua game designers wabongo labda tunaweza kufanya kitu cha kueleweka kama project ambayo inafanyika mbali na wakati wa kazi (free time) tu... Ni ka google employees, wanafanya kazi lakini muda wao wa free walitumia kutengeneza a simple project ya google cardboard for virtual reality..

Game designing inajumuisha fields nyingi sana, programmers, 3D modelers, Animators, inahitaji watu ambao wako familiar pia na game engines kama Unreal Engine, Cry Engine au Unity, hizi tatu nimemention kwa kua ndo moja ya famous game engines kwa hiyo kuna very many resources.. Binafsi niko familiar na unreal engine.

Anyone interested in creating a simple game from scratch, Usiwaze vitu kama battlefield au crysis, hizo ni games kubwa sana zinazotengenezwa na watu wengi mno na zinachukua miaka to develop na billions of shillings... Naongelea simple games. Kama ushawahi sikia term Indie games.

Au kama hamna watu familiar with big game engines basi Android n iOS games za angalau za 2.5D, kitu kama Angry birds, flappy birds au Candy crush, Temple Run, hizi hazihitaji watu mia, hata five people can make it from scratch.
 
Dreson4 Kaka mimi umenipata napenda sana kufanya project ya pamoja na madeveloper wengine, binafsi naweza kudesign 2d platform game kwa kutumia Java. Simamia hiyo kitu tuone kama tunaweza kufanya jambo.
 
I made my first 2D game using flash animator back in 2000s hivi, was young and interested in games alot. But over time kinda got interested more in animations zaidi so kinda left it untouched.

I'm gud with flash, i like the idea, ila i suggest for starter 2anze na some simple 2D game, kuna ppo good in photoshop (backgrounds), programing (scripts for the game) i could help out in the animations and other stuff.

We could actually build our own simple game in here and gain extra knowledge in the process. So yeah i'm down bro 😀
 
[h=2][/h]
Good Guy ni wazo zuri, Hivi unapozungumzia animation si unazungumzia Sprite sheet ?! Then Hata kama mtu hana taaluma yoyote lakini ni mchezaji mzuri anaweza kutusaidia kufanya game designing, au kutusaidia stori nzuri kwa ajili ya game pia kufanya level designing.​
 
M2 akacheck this staff maximo fuse na face plus...hz soft make things easy
 
wengine tunapenda idea tunazo ila hatujui. inakuwaje?
ni mwanzo mzuri maana hata KONAMI, GAMELOFT walianza hivi hivi.
 
Dreson4 Sema tunaanzia wapi mbona kimya, wazo limekubalika hili.

Mmoja afungue group la whatsapp, discussion iwe kwa karibu zaidi. Mtu kama wewe Joel360 Pia ni muhimu kwenye game development inteligent mmoja atoe tu starting point.
 
Dreson4 Sema tunaanzia wapi mbona kimya, wazo limekubalika hili.

Mmoja afungue group la whatsapp, discussion iwe kwa karibu zaidi. Mtu kama wewe Joel360 Pia ni muhimu kwenye game development inteligent mmoja atoe tu starting point.

hilo group tulianzishie facebook maana wengine tuna michina haisapoti whatsapp ila fb atleast
 
nme create wasap grp pm namba yako tuanze kazi
 
mm mwenyewe napenda sana game hivyo niwekeni basi
Good Guy ni wazo zuri, Hivi unapozungumzia animation si unazungumzia Sprite sheet ?! Then Hata kama mtu hana taaluma yoyote lakini ni mchezaji mzuri anaweza kutusaidia kufanya game designing, au kutusaidia stori nzuri kwa ajili ya game pia kufanya level designing.​
 
Back
Top Bottom