hilo group tulianzishie facebook maana wengine tuna michina haisapoti whatsapp ila fb atleast
Are you a serious Developer ?
mm mwenyewe napenda sana game hivyo niwekeni basi
Nimeku PM bosiVipi wadau naona kimya sioni namba zenu ni watu wachache sana walionitafuta niwaunge kwenye group la WhatsApp
cc ladyfurahia, mmwamba, parameter, baldin, Joel360, quantumQ, Freelancer, Pruner na wengine
Jamani nahitaji kuwatambua game designers wabongo labda tunaweza kufanya kitu cha kueleweka kama project ambayo inafanyika mbali na wakati wa kazi (free time) tu... Ni ka google employees, wanafanya kazi lakini muda wao wa free walitumia kutengeneza a simple project ya google cardboard for virtual reality..
Game designing inajumuisha fields nyingi sana, programmers, 3D modelers, Animators, inahitaji watu ambao wako familiar pia na game engines kama Unreal Engine, Cry Engine au Unity, hizi tatu nimemention kwa kua ndo moja ya famous game engines kwa hiyo kuna very many resources.. Binafsi niko familiar na unreal engine.
Anyone interested in creating a simple game from scratch, Usiwaze vitu kama battlefield au crysis, hizo ni games kubwa sana zinazotengenezwa na watu wengi mno na zinachukua miaka to develop na billions of shillings... Naongelea simple games. Kama ushawahi sikia term Indie games.
Au kama hamna watu familiar with big game engines basi Android n iOS games za angalau za 2.5D, kitu kama Angry birds, flappy birds au Candy crush, Temple Run, hizi hazihitaji watu mia, hata five people can make it from scratch.
kuna kagemu ka android nimekaona playstore kana addictive effects na graphics kama flappy bird, na kametengenezwa na jamaa mbongo. kanaitwa kifimbo man. hebu mkaone mtoe review zenu

Lile game nimeliona,jamaa i doubt kama ktengeneza maana ni complete rip off ya game flani linaitwa Stick Hero...
Anyone can buy online au download the code afu akatumia kama yake... A new idea always works best
Jamani nahitaji kuwatambua game designers wabongo labda tunaweza kufanya kitu cha kueleweka kama project ambayo inafanyika mbali na wakati wa kazi (free time) tu... Ni ka google employees, wanafanya kazi lakini muda wao wa free walitumia kutengeneza a simple project ya google cardboard for virtual reality..
Game designing inajumuisha fields nyingi sana, programmers, 3D modelers, Animators, inahitaji watu ambao wako familiar pia na game engines kama Unreal Engine, Cry Engine au Unity, hizi tatu nimemention kwa kua ndo moja ya famous game engines kwa hiyo kuna very many resources.. Binafsi niko familiar na unreal engine.
Anyone interested in creating a simple game from scratch, Usiwaze vitu kama battlefield au crysis, hizo ni games kubwa sana zinazotengenezwa na watu wengi mno na zinachukua miaka to develop na billions of shillings... Naongelea simple games. Kama ushawahi sikia term Indie games.
Au kama hamna watu familiar with big game engines basi Android n iOS games za angalau za 2.5D, kitu kama Angry birds, flappy birds au Candy crush, Temple Run, hizi hazihitaji watu mia, hata five people can make it from scratch.
Nimeliona it was 2015kuna kagemu ka android nimekaona playstore kana addictive effects na graphics kama flappy bird, na kametengenezwa na jamaa mbongo. kanaitwa kifimbo man. hebu mkaone mtoe review zenu
Hahah labda bhana haja copy let's appreciate kajitolea , isije kila mtu mtamwambia ka copy likifanana na angry bird mwingine akitengenezaLile game nimeliona,jamaa i doubt kama ktengeneza maana ni complete rip off ya game flani linaitwa Stick Hero...