Hivi Chama kilichoamua kuifanya Jumamosi ni siku ya Mapumziko ni Chama gani vileeee???
Na hapo ndipo tatizo lilipo, sehemu kubwa ya Watanzania wako kama wewe pia hawaoni tatizo katika huo uamuzi wa huyo Raisi wa Gambia!Naona kila uzi ss umekuwa wa kupigia kampeni kwani sijaona sababu ya msingi ya kuhusisha mada yako ii uliyoitoa na chama iko ulichokitaja....
Cc:kwa mtoa mada.
Naona kila uzi ss umekuwa wa kupigia kampeni kwani sijaona sababu ya msingi ya kuhusisha mada yako ii uliyoitoa na chama iko ulichokitaja....
Cc:kwa mtoa mada.
Una hoja nzuri sana lakini umeiharibu wewe mwenyewe kwa kitendo cha kuhusisha chama fulani katika uzi wako hakina mashiko kabisa
Naona kila uzi ss umekuwa wa kupigia kampeni kwani sijaona sababu ya msingi ya kuhusisha mada yako ii uliyoitoa na chama iko ulichokitaja....
Cc:kwa mtoa mada.
Ha ha ha ha ww ni mjeuri,cjawahi kuona!Kila kitu nilichoandika ni kutokana na yale niliyoyaona na kuyasikia hamna hata moja nililolitunga! Hivyo kama nimegusa hisia zako kwa kuwa labda wewe ni mwanachama au mpenzi wa chama chochote nilichokitaja basi pole, lakini ndio ukweli wenyewe
lakini kama ni 8 am to 6 pm for 4 days naona hakuna tofauti na masaa wanayofanya wabongo ingawaje ni siku tano kwa bongo...makampuni mengi tuu states yana flexibility kama hiyo wanachotaka ni 40 hrs kwa week
Oh yeah...I love that flex time and I use it too.
Leo nimesikia kwamba Serikali ya Gambia imeamua kupunguza siku za kufanya kazi kuwa 4 kwa wiki, hiyo ni amri ya Raisi wa nchi hiyo ambayo ni maskini kuliko karibu zote Afrika, na watu wanashangilia kupumzika nyumbani, inanikumbusha CHADEMA au wanachama wa CHADEMA wanavyopanga kusheherekea siku 3 mfululizo siku wakishinda Uchaguzi, maanake siku 3 za mapumziko bila kufanya kazi!
Kweli wazo zima la uchumi bado halijaeleweka kwetu sisi Waafrika, nafikiri hata hatujui ni nini maana ya uzalishaji!