GAMBIA: Yahya Jammeh alitutuma tukamuue Mwandishi wa Habari

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Afisa wa Kikosi cha Ulinzi wa aliyekuwa Rais wa Gambia, Yahya Jammeh amekiri kuwa utawala huo ulihusika na mauaji ya
Deyda Hydara

Ametoa ushuhuda huo ikiwa ni miaka 15 tangu Mwanahabari hiyo auawe. Afisa usalama huyo wa zamani amekiri kuhusika na mauaji hayo na kueleza kuwa walitumwa na Rais Jammeh

Malick Jatta amesema walimshambulia kwa risasi Hydara bila ya kujua kama ni Mwanahabari anayemiliki gazeti la The Point

Yahya Jammeh aliyeingia madarakani mwaka 1994 kwa njia ya mapinduzi aliachia madaraka mwaka 2017 na kukimbilia nchini Guinea ya Ikweta baada ya kushindwa katika uchaguzi

=======

BANJUL, Gambia: In official testimony, an ex-member of a hit squad operating under Gambia’s former strongman leader confessed on Monday to killing a journalist.

The confession before the country’s Truth Commission came on the day Gambians are remembering the 25th anniversary of the coup that brought President Yahya Jammeh to power. Under international pressure, Jammeh was deposed in 2017.

Malick Jatta -- also a former member of Gambia’s elite Presidential Guard -- was part of the hit squad known as the Patrol Team. He began his testimony before the Truth Commission on Monday and has so far confessed involvement in three executions.

Up until his testimony, there was no known public confession or evidence tying the former president to the murder of journalist Deyda Hydara. Jammeh -- now living in exile -- has denied involvement in Deyda’s murder.

“Today is a sad day for Gambian journalists,” said Sheriff Bojang Jr., head of the Gambia Press Union.

Jatta said they ambushed Hydara and and then drove off, but without being told their victim’s name.

Hydara was in a car with two women at the time he was shot. The incident fell on the 13th anniversary of the establishment of The Point, the West African country’s first tabloid-style newspaper jointly set up by Pap Saine, Deyda Hydara, and Baboucarr Gaye.
 
Kuna documentary nimeiona wiki iliyipita BBC night news, rais wa sasa wa Gambia ameshaanza kuchokwa, hana tofauti ya Yahya Jamel na vijana waneshaanza harakati za kumtoa madarakani.
Ndilo tatizo la waafrika. Si ajabu ameanza kuua! kama unayo niwekee
 
Kuna documentary nimeiona wiki iliyipita BBC night news, rais wa sasa wa Gambia ameshaanza kuchokwa, hana tofauti ya Yahya Jamel na vijana waneshaanza harakati za kumtoa madarakani.
Kwa hivyo Africa tunabadilisha sura tu sio aina ya viongozi au uongozi?
 
Pole Tundu Lisu! Watesi wako wanajulikana tu wazi wazi! johnthebaptist Sky Eclat Salary Slip Pascal Mayalla
P
 
P
Ni kweli, mnaweza lakini jaribu uone cha moto! Nina uhakika mnaweza sana , hasa watu makini kama nyie (ingawa U-homeboy umekutengua kwa kiasi fulani). Lakini huyu akiondoka , uko vizuri!
 
Nimesoma/nimesikiliza. Mwanamuziki anasema "Is this the Gambia we want"? Ameanza kusema eti Gambia ndio wataamua aendelee au aache! wakati kuna mkataba na wapinzani kuwa no re-election
It’s sad unemuona yule mwanaharakati ambae Baba yake alialikwa na jikoni cha usalama, wameachiwa nyumba haijakwisha na yeye ndiye anategemewa na familia.
 
mi nikichukua nchi viongozi waliopita watapata tabu sana kutokana na mateso yao kwetu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom