Gambia withdraws from International Criminal Court

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Serikali ya Gambia imetangaza kujitoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu ICC.

Hatua hiyo imekuja kutokana na madai kuwa ICC hushughulika na Waafrika pekee.

Maamuzi ya kujitoa katika mahakama hiyo yanafuatia baada ya Burundi na Afrika ya Kusini kutangaza kujiondoa
==================

e90632a5450741dd862796f0e86fd3cf_18.jpg

Gambia has announced its withdrawal from the International Criminal Court, accusing the Hague-based tribunal of "persecution and humiliation of people of colour, especially Africans".

Tuesday's announcement comes after similar decisions earlier this month by South Africa and Burundi to abandon the institution, set up to try the world's worst crimes.

The ICC was set up in 2002 and is often accused of bias against Africa and has also struggled with a lack of cooperation, including from the US, which has signed the court's treaty but never ratified it.

The court had been used "for the persecution of Africans and especially their leaders" while ignoring crimes committed by the West, Sheriff Bojang, Gambia's information minister, said on state television.

He singled out the case of Tony Blair, former British prime minister, who the ICC decided not to indict over the Iraq war.

"There are many Western countries, at least 30, that have committed heinous war crimes against independent sovereign states and their citizens since the creation of the ICC and not a single Western war criminal has been indicted," Bojang said.

The withdrawal, he said, "is warranted by the fact that the ICC, despite being called International Criminal Court, is in fact an International Caucasian Court for the persecution and humiliation of people of colour, especially Africans".

Gambia has been trying, without success, to use the ICC to punish the EU for the deaths of thousands of African refugees and migrants trying to reach its shores.

The decision will also come as a personal blow to the court's chief prosecutor, Fatou Bensouda, a former Gambian justice minister.

Burundi had said earlier this month it would leave the court, while Namibia and Kenya have also raised the possibility.

Over the weekend, the ICC asked South Africa and Burundi to reconsider their decisions, which came as a major blow to the institution.

"I urge them to work together with other states in the fight against impunity, which often causes massive violations of human rights," Sidiki Kaba, president of the assembly of state parties to the ICC founding treaty, said in a statement.

Alleged war crimes

South Africa's decision followed a dispute last year when Sudanese President Omar al-Bashir visited the country despite being the subject of an ICC arrest warrant over alleged war crimes.

Kaba said he was concerned that South Africa and Burundi's decisions would pave the way for other African states to leave the court.

The tribunal is entrusted with "prosecuting the most serious crimes that shock the conscience of humanity, namely genocide, war crimes, crimes against humanity and crimes of aggression".

Luis Moreno Ocampo, the former ICC chief prosecutor, criticised Burundi and South Africa, accusing them of giving leaders on the continent a free hand "to commit genocide".

"Burundi is leaving the ICC to keep committing crimes against humanity and possible genocide in its territory. Burundi's president wants free hands to attack civilians," he said.

He said Nelson Mandela, the former South African president, had "promoted the establishment of the Court to avoid new massive crimes in Africa. Now under the [Jacob] Zuma leadership, South Africa decided to cover up the crimes and abandoned African victims. The world is going backward.

"The chaos is coming. Genocide in Burundi and a new African war are in motion."

Source: Aljazeera
 
Fatou Bensuda ni raia wa The Gambia. Kama nchi yake imejitoa naye ajiuzulu apatikane mwendesha mashitaka toka kwa nchi mwanachama
 
Fatou Bensuda ni raia wa The Gambia. Kama nchi yake imejitoa naye ajiuzulu apatikane mwendesha mashitaka toka kwa nchi mwanachama

Nafikiri Bensouda ni tishio kwa Jammeh hata ndani ya Gambia pia.

Yahya Jammeh na Pierre Nkurunziza wanaogopa kushtakiwa tu kwa maovu yao.

Hizo habari za kusema wana protest ICC haikamati watu wa dunia ya magharibi ni geresha tu.

Ingawa ICC ina sura ya partiality. Wangewashtaki George Bush na Tony Blair.

Kama mahakama haina haki na wewe unapenda haki, suluhisho si kuisusia. Suluhisho ni kuilazimisha itoe haki.

Nchi za Afrika zimefanya nini kuhakikisha hawa watu wa magharibi wanafikiwa na ICC ?
 
nafikri watu walikua wanajiuliza nan atamfunga paka kengele na nafikr burund aliamua hilo tutaona nchi nying za ki africa zikijiondoa from which ni sahihi swali langu then after kujitoa what next?
 
Nafikiri Bensouda ni tishio kwa Jammeh hata ndani ya Gambia pia.

Yahya Jammeh na Pierre Nkurunziza wanaogopa kushtakiwa tu kwa maovu yao.

Hizo habari za kusema wana protest ICC haikamati watu wa dunia ya magharibi ni geresha tu.

Ingawa ICC ina sura ya partiality. Wangewashtaki George Bush na Tony Blair.

Kama mahakama haina haki na wewe unapenda haki, suluhisho si kuisusia. Suluhisho ni kuilazimisha itoe haki.

Nchi za Afrika zimefanya nini kuhakikisha hawa watu wa magharibi wanafikiwa na ICC ?
Mkuu hizi nchi zetu tunazionea bure kutaka nazo zifanye chochote kuhakikisha watu kama Blair wanawajibishwa kwa makosa yao.

Wao ndiyo wanatupa mkate wetu wa kila siku sasa hapo unadhani kuna chochote tutaweza kuwafanya?

Hata kama uongozi wote na majaji wote wa ICC watakuwa wa kutoka Africa bado hatuwezi kuwashitaki hao mabwana wakubwa maana wao ndiyo wanailipa gharama za uendeshahi na hata mishahara ya hao watumishi wa hiyo mahakama ya ICC.
Na wewe unajua anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo.

Nadhani tuimarishe Mahakama yetu ya Africa iliyopo Arusha tuipe na uwezo wa kushughukika na makosa ya jinai kama ICC.
 
Wafanyaje kwa mfano
 
Naomba mnitajie Mtuhumiwa alieko ICC kutoka Africa kwa sasa ambae Hastahili kuwa hapo ICC ...
 
Mahakama ya Arusha ipo kwenye nchi ambayo chama tawala kimeiba kura kila uchaguzi Zanzibar kuanzia 1995 bila kukosa.

Na yenyewe inategemea wafadhili.
 
Naomba mnitajie Mtuhumiwa alieko ICC kutoka Africa kwa sasa ambae Hastahili kuwa hapo ICC ...
Number 1: unlike Bush and Blair, Bosco Ntaganda "Terminator" who tried to protect his people from another genocide... over to you Sir! Africans... oh Africa...
 
Back
Top Bottom