Gals under 23

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,052
Nimegundua kwa ushahidi ulio wazi kabisa asilimia 90 ya mabinti chini ya miaka 23 wanapendelea wapenzi ambao ni waume za watu nimejaribu kujiuliza nikwanini nimekosa jibu la moja kwa moja nikaona niwashirikishe wenye ujuzi na hili
 
Kila mwanaume 18 and above 98% ni mwanaume wa mtu! Kama sio Mume halali wa mtu basi ni buzi halali la mtu, ama Boyfriend halali wa mtu!

HAKUNA MWANAUME WAKO PEKE YAKO!!!!!!!!!!

Ukikaa unasuburi umpate wako peke yako utazeekea nyumbani! suluhisho moja tu!

MWENYE KISU KIKALI NDO ANAEKULA NYAMA, NA ASIE NA KISU NA ASHUHUDIE NYAMA IKILIWA NA WENZIE!!!!!!!!!!
 

Lara mmh mmh mmh
 
Nimegundua kwa ushahidi ulio wazi kabisa asilimia 90 ya mabinti chini ya miaka 23 wanapendelea wapenzi ambao ni waume za watu nimejaribu kujiuliza nikwanini nimekosa jibu la moja kwa moja nikaona niwashirikishe wenye ujuzi na hili

mh!! Upembuzi yakinifu huu ni kweli??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…