mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Wadau mambo niaje,
ebhana jamani mwenzenu nimeingizwa cha kike, nimenunua Galaxy s5 nikadhani original maana njia zote za kutest simu original nilifanya na iyo simu ikakubali ndipo nikainunua kwa mihela mingi tu...Ila nilipoenda kuitumia ndo nikagundua ni tofauti na galaxy s5 original, maana niliangalia features za original kwenye youtube nikagundua ya kwangu haina features za namna iyo..ndipo nikaangalia kwenye mitandao nikaona kuna galaxy s5 model kama yangu ( G 9006V ) wanaizungumzia wenyewe wanasema sijui ni clone ya s5, daah imeniuma sana wadau.
NATAFUTA MTU kama anaitaka anirudishie hata nusu ya ela yangu tu..maana sijazoea kutumia fake na pia stimu zote za kuitumia hii simu zimekata.
Pole sana mkuu, Hebu tuanzie hapa kwanza ni njia gani ulitumia kutest kama ni fake au genuine?
Daaah. .hilo Ni pigo ila kama utauza kwa nusu bei am sure soon utapata mteja
Simu za namna hiyo ni kununua voda shop
Tigo shop
Mawakala wakubwa wa electronics
Kujua simu original bonyeza *#0*# chagua sensor then sogeza mkono wako itavibrate utaiona rangi ya kijani vizuri
Mkuu mi nina 100,000/= ni PM nimalize biashara.
Mkuu mi nina 100,000/= ni PM nimalize biashara.
asante kaka, kuna uzi mmoja niliuona humu jf uliorodhesha special codes za kutambua originality ya galaxy
nilizijaribu zooote na zikakubali kaka,tena mpaka ile ya *#0*# halafu kwenye sensor na ika sense vizuri tu...zaidi ya hizo njia sikuwa na ujanja mwingine wa kufanya
Kwa samsung tu
Wadau mambo niaje,
ebhana jamani mwenzenu nimeingizwa cha kike, nimenunua Galaxy s5 nikadhani original maana njia zote za kutest simu original nilifanya na iyo simu ikakubali ndipo nikainunua kwa mihela mingi tu...Ila nilipoenda kuitumia ndo nikagundua ni tofauti na galaxy s5 original, maana niliangalia features za original kwenye youtube nikagundua ya kwangu haina features za namna iyo..ndipo nikaangalia kwenye mitandao nikaona kuna galaxy s5 model kama yangu ( G 9006V ) wanaizungumzia wenyewe wanasema sijui ni clone ya s5, daah imeniuma sana wadau.
NATAFUTA MTU kama anaitaka anirudishie hata nusu ya ela yangu tu..maana sijazoea kutumia fake na pia stimu zote za kuitumia hii simu zimekata.
Lakini pia kwa simu yyt ya android unakwenda kwenye application→setting→about device/phone→ android version then fanya kama una-i-touch several time bila kuacha kuachia gap ike double clicking, ita respond kwa kuonesha icon ya android na kuonesha version ya android ya simu husika. Hiyo version itatokea kwa ku-popup.
Fake hai respond kabisa hicho kitu!Kwani simu fake hai respond uki click continously kwenye android version? # asking