Box hilo la s4. Usilete utoto kama unahitaji soma maelezo ukiridhika nipigie.
Acha ukali kaka, sasa unauza simu ya S4 unatoa picha ya nokia tochi, Na pia unatoa picha ya boksi! Kwani unauza boksi la S4? Si utoe picha ya real simu kaka
mim nimeona nokia ya tochi tu na boksi