Habari za muda huu wakuu. Nna bajeti ya 300000 laki tatu nahitaji Samsung Galaxy S4 sio Clone isiwe imechoka sana wakubwa. Mchana mwema. PM tu kama unayo.
I Have Genuine S4 for sale but I need 480/-, simu imetumika kwa miezi mitatu ...contact 0712780006 if utahitaji, niko Dar es Salaam
Hiyo S4 yako inaonyesha kabisa kuwa ni clone (copied). Hakuna S4 genuine hapo.
Mkuu hamy D umenena tena ya kweli kabisa