MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,728
- 5,000
Habari wana jamvi kwa anaehitaji....nina samsung galaxy note 10.1 original naitaji kubadilisha na samsung galaxy note 2....haina tatizo lolote na haijawai kwenda kwa fundi....sababu ya kubadilishana...nilinunua kwa ajili ya project fulani now imeisha sasa siitaji tena kwa ukubwa uliokuwa nayo ndio maana naitaji samsung galaxy note 2.ina kila kitu chake mpaka bluetooth keyboard