GALANOS au Galaxy

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Oya wazee wa GALANOS mpo???? vipi msocha mnamkumbuka? lakasachika club.....mwalimu msombwa.....
 
Galanos Bwana!!!!!!!!!!!!!

Mabweni Pamba, Chai yaani ilukuwa raha tupu!!

halafu miaka ile maziwa na kuku ..msosi ulikuwa poa!

Na kupasi watu walipasi vizuri sana..for O and A level!!

hivi Kinala bado ni headmaster hadi sasa??
 
Wanangu Du! Socha Boy mnamkumbuka ticha la Michezo nomaaa!!
Na mnambuka Headboy Mrema??? Mwalimu Masawe mke na mume, Shemgwa, na ticha potable but mke wa mtu nasikia Shetui, Na wengineo Mama mafue wanangu nyie mmemaliza lini? je jamaa anaitwa Santos, Yazidu, Malalia, Gerrad, Isaya Estomih, Isidori shirima, Frank Mkony mnawajua?

Bye bye
 
Hivi kuna aliyewahi kwenda Disco kule Limbachia? na kutembea kwa Mguu hadi kule Raskazone kuogelea kule??
 
Nyie mnamsema Msombwa? nani anamkubuka massawe "The displine mater" na pikipiki yake ya CC 250!!! Mi nimekaa sana Amri Abeid
 
ahahhahah ..ule wimbo atakua alitunga msombwa.... manake yule jamaa alikuwa miyeyusho noma
 
Wanangu Du! Socha Boy mnamkumbuka ticha la Michezo nomaaa!!
Na mnambuka Headboy Mrema??? Mwalimu Masawe mke na mume, Shemgwa, na ticha potable but mke wa mtu nasikia Shetui, Na wengineo Mama mafue wanangu nyie mmemaliza lini? je jamaa anaitwa Santos, Yazidu, Malalia, Gerrad, Isaya Estomih, Isidori shirima, Frank Mkony mnawajua?

Bye bye
dah unawafahamu hawa jamaa, ni rafiki zangu sana, santos mara nyingi nakua nae hata yazid ila sasa hvi sijui yupo wapi maana tangu kamaliza chuo sijawasiliana nae.
 
Galanos Bwana!!!!!!!!!!!!!

Mabweni Pamba, Chai yaani ilukuwa raha tupu!!

halafu miaka ile maziwa na kuku ..msosi ulikuwa poa!

Na kupasi watu walipasi vizuri sana..for O and A level!!

hivi Kinala bado ni headmaster hadi sasa??
umeshau bweni langu la kahawa mkuu
 
Nakumbuka enzi zile disco la shule kuanzia saa 8 hadi saa 12 jioni. kulikua na tank la maji juu kabisa ya paa la madarasani, basi wakija form 1 wanaambiwa lile ndio kabuli la Galanos aliyejenga ile shule, kwa ni lazima ulipe ili ukamwangalie maana amkekaushwa na kuwekwa kule. eti bora wafe form 1 wanne kuliko nguruwe mmoja wa shule.

socha hajui kiingeleza anakwambia "i catch you to big leaf you plant bicycle, you want to jump me" hahahahahaa alikua anamaanisha nilikukamata mtaani majani mapana, unataka kuniruka?

kulikua na jamaaa lilikua discipline master linaitwa Kika aka magroove, tulikua tunakimbia hadi utofu jioni ili kutafuta appettite ya kula ugali maharage
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom