Simba inasafiri bila Manula, Bocco kule Botswana

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,303
9,486
Inaweza kuwa ni zama mpya ndani ya Simba au ni muendelezo wa sintofahamu iliyosababishwa na kipigo Cha goli 5 kutoka kwa club inayoongozwa na mwanyekiti wa vilabu vyote Afrika Hersi Said.

Simba imewaacha nguli hao wa soka la ndani na nje ya nchi huku wakikabiliwa na mechi ngumu kutoka kwa kiongozi wa kundi lao ambae ni Jwanengy Galaxy.

Simba waombewe sana nje ya hapo nawaona wakipoteana mazima.

#prayforsimba#
 
Inaweza kuwa ni zama mpya ndani ya Simba au ni muendelezo wa sintofahamu iliyosababishwa na kipigo Cha goli 5 kutoka kwa club inayoongozwa na mwanyekiti wa vilabu vyote afrika Hersi Said.

Simba imewaacha nguli hao wa soka la ndani na nje ya nchi huku wakikabiliwa na mechi ngumu kutoka kwa kiongozi wa kundi lao ambae ni Jwanengy Galaxy.

Simba waombewe sana nje ya hapo nawaona wakipoteana mazima.

#prayforsimba#
Mkuu ni vizuri zaidi mgewekeza hizi nguvu kwenye mechi yenu na Al Ahly, maana mnayajadili ya Simba hadi mnapoteza mechi zenu,kumbuka ukifungwa tena hii game hamna nafasi tena ya kufuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale galaxy wale wa msimu huu..

Wametinga makundi kwa kibabe kwa kumtoa Orlando pirates kwake.

Mechi ya kwanza ya makundi wamepata point 3 wamemfunga finalist Waydad casablanca kwake Morocco.

Naona kabisa Simba mwenye migogoro anaelekea Botswana na yeye kumpelekea Jwaneng Galaxy point 3.

Kama Orlando na Waydad wamekufa.. sioni Simba anaponaje
 
Mkuu ni vizuri zaidi mgewekeza hizi nguvu kwenye mechi yenu na Al Ahly, maana mnayajadili ya Simba hadi mnapoteza mechi zenu,kumbuka ukifungwa tena hii game hamna nafasi tena ya kufuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hawajui hata wachezaji wao wako wapi maana toka wamerudi kutoka kwenye kichapo hawajapostiwa halafu wanatuambia wanaendeshwa kisasa
 
Hizi mechi za nje ndiyo zilikuwa zimebaki za kupangwa Boko maana walijua watu watasonya tu kwenye vioo vya TV. Nilimshauri ajifunze ukipa hakunisikiliza :D:D:D

Nadhani Boko ameachwa asimamie mazoezi ya wale wanaobaki
Simba wamekosea sana Bocco ni muhimu sana hata kwenye bench huwa anajitahidi kutoa maoni kwa wachezaji wenzake
 
Inaweza kuwa ni zama mpya ndani ya Simba au ni muendelezo wa sintofahamu iliyosababishwa na kipigo Cha goli 5 kutoka kwa club inayoongozwa na mwanyekiti wa vilabu vyote Afrika Hersi Said.

Simba imewaacha nguli hao wa soka la ndani na nje ya nchi huku wakikabiliwa na mechi ngumu kutoka kwa kiongozi wa kundi lao ambae ni Jwanengy Galaxy.

Simba waombewe sana nje ya hapo nawaona wakipoteana mazima.

#prayforsimba#
Mlijifunza kwa nini Yanga alifungwa tatu mzuka?Jikite kuishauri.
 
Mkuu ni vizuri zaidi mgewekeza hizi nguvu kwenye mechi yenu na Al Ahly, maana mnayajadili ya Simba hadi mnapoteza mechi zenu,kumbuka ukifungwa tena hii game hamna nafasi tena ya kufuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu team zote za kariakoo ni zetu na haiepukiki kabisa kuzijadili
Mechi yetu na waarabu ni tunashinda Moja bila na baada ya kupoteza Ile kule Algeria ndio basi tena hapa ni ushindi hadi robo final
 
Back
Top Bottom