Gaijin;
Mimi na wewe hatuwezi kujua sababu ngoja aje hapa atatueleza. Labda ni vile unakata sana issue zaidi ya "He's"
Tuyaache hayo:
Sasa gaijini kuna Zawadi zenu. Kuna njia mbili za kupata TZS 50K yako. unaweza ukani-PM tukakubaliana jinsi ya kuchukua zawadi yako kisha unakuja ku-confirm hapa kuwa ualiipata. Wasije dhani nimechakachua.
Pili kama uanataka naweza kumpatia Maxence kisha ukachukua huko na kuja kufanya confirmation Jamvini kuwa umepata.
karibu Gaijin na Regia Mtema.
Ningependa tuzo hiyo apewe Regia Mtema kwa sababu
Mimi siamini kwenye 'nafasi/upendeleo maalum' kwa wanawake. ...... Poll maalum kwa wanawake haionyeshi kutambua kwamba michango ya wanawake na wanaume ina thamani sawa kwenye jamvi hili. .....
shukuran kwako na kwa wale wote waliojitokeza hadi kufanikisha zowezi zima la upigaji kura.
Ningependa tuzo hiyo apewe regia mtema kwa sababu
mimi siamini kwenye 'nafasi/upendeleo maalum' kwa wanawake. Iwe katika siasa au katika jamii. Naamini kuwa katika masuala yasiyohusisha maumbile ya mwanamke na mwanamme basi jinsia zote mbili zinatakiwa kutizamwa kwa jicho moja. Poll maalum kwa wanawake haionyeshi kutambua kwamba michango ya wanawake na wanaume ina thamani sawa kwenye jamvi hili.
Katika kupinga mfumo dume
gaijin
hongreni sana wapenzi
Shukuran kwako na kwa wale wote waliojitokeza hadi kufanikisha zowezi zima la upigaji kura.
Ningependa tuzo hiyo apewe Regia Mtema kwa sababu
Mimi siamini kwenye 'nafasi/upendeleo maalum' kwa wanawake. Iwe katika siasa au katika jamii. Naamini kuwa katika masuala yasiyohusisha maumbile ya mwanamke na mwanamme basi jinsia zote mbili zinatakiwa kutizamwa kwa jicho moja. Poll maalum kwa wanawake haionyeshi kutambua kwamba michango ya wanawake na wanaume ina thamani sawa kwenye jamvi hili.
Katika kupinga mfumo dume
Gaijin
Binafsi nakubaliana na mawazo yako ya kupinga mfumo dume,lakini kauli ya kusema apewe Regia eti kwa sababu haukubaliani na suala la mwanamke kupewa upendeleo kisa jinsia yake mie naona hajikaa njema(Implication sio nzuri na haujatatua tatizo).Pili kulipongeza zoezi na kukataa zawadi unakuhaueleweki,nafikiri ingekuwa Bora zaidi kama utachukua zawadi kisha ukashauri utaratibu mzuri wa kuufanikisha mchakato huu kwa siku za usoni,angalau ukaheshimu nguvu ambazo jamaa walizitumia katika kulifanikisha hili
Kwa kuheshimu nguvu na dedication iliyochukuliwa kufanikisha zowezi ndio nimetoa pongezi zangu kwenu.
Kuwa sikubaliani na dhana ya mfumo dume iliyojitokeza kwenye zowezi hili, nilikwisha toa maoni na msimamo wangu kabla ya zowezi kuanza.
Na hatua niliyochukua ni kutoshiriki kikamilifu kwa kutopiga kura yangu kwenye zowezi lililoendeshwa.
Iwapo kama kuna tuzo inapaswa kutolewa, basi ni bora tuzo ile apewe anaeamini kwenye tuzo hiyo.
uko sahihi kabisa ma mdogo. I will back you wherever you go with this in mind. The fight against mfumo dume need to be strategic and consistent. Any wisely designed financial and non-financial prize at the expense of spearheading this movement should be handled with utmost care
Binafsi nakubaliana na mawazo yako ya kupinga mfumo dume,lakini kauli ya kusema apewe Regia eti kwa sababu haukubaliani na suala la mwanamke kupewa upendeleo kisa jinsia yake mie naona hajikaa njema(Implication sio nzuri na haujatatua tatizo).Pili kulipongeza zoezi na kukataa zawadi unakuhaueleweki,nafikiri ingekuwa Bora zaidi kama utachukua zawadi kisha ukashauri utaratibu mzuri wa kuufanikisha mchakato huu kwa siku za usoni,angalau ukaheshimu nguvu ambazo jamaa walizitumia katika kulifanikisha hili
Shukuran kwako na kwa wale wote waliojitokeza hadi kufanikisha zowezi zima la upigaji kura.
Ningependa tuzo hiyo apewe Regia Mtema kwa sababu
Mimi siamini kwenye 'nafasi/upendeleo maalum' kwa wanawake. Iwe katika siasa au katika jamii. Naamini kuwa katika masuala yasiyohusisha maumbile ya mwanamke na mwanamme basi jinsia zote mbili zinatakiwa kutizamwa kwa jicho moja. Poll maalum kwa wanawake haionyeshi kutambua kwamba michango ya wanawake na wanaume ina thamani sawa kwenye jamvi hili.
Katika kupinga mfumo dume
Gaijin
Superman na wengineo.Ninawashukuru wote,Superman kwa kuanzisha thread hii na wote walionipendekeza katika hatua za awali mpaka hatua ya kunipigia kura.Nawashukuru sana.
Binafsi huwa ninapenda mashindano ya aina yeyote ile ili mradi tu yafuate taratibu na kanuni.Niliona na kufuatilia tangu mchakato ulipofikia hatua ya kupigiwa kura za kupata mshindi.Ofcoz niliona mapungufu kadhaa lakini by then nilikuwa nimeshachelewa lakini nitayaweka wazi baaaye kwaajili ya kusadia michakato kama hii kwa siku zijazo.Shindano lilikuwa dogo laikni limeleta changamoto kadhaa,linahuisha JF na hata chipukizi wengine wanapata morale,wawe wanaume au wanawake.Binafsi nilifurahi nilipopendekezwa and am still proud of it.
Nimesoma mawazo ya Gaijin kuhusiana na mtazamo wake kuhusu tuzo.Amependekeza mimi ndio nipewe tuzo ya shindano hili.Kwa kuwa aliyependekeza naye ni mshindi basi nami nikiwa kama mwanasiasa ninayeamini katika mashindano mbalimbali na kama mwanaharakati wa masuala ya jinsia na ulemavu,nilnayeamini maana halisi ya mfumo dume,Ninaipokea tuzo hii ya shilingi laki moja kwa mikono miwili na kwa heshima na taadhima.
Superman.Naomba zawadi hiyo umkabidhi Maxence kama mchango wangu kwa JF...please fikisha.
Nashukuru sana kuwa JF Woman of the year 2010.
Aluta continua