Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,001
- 112,648
RIP Regia: JF Woman of Year 2010
Where is my money?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Regia: JF Woman of Year 2010
I will remember you for your humility, your confidence, and your ability to take your decisions based on circumstance...Superman na wengineo.Ninawashukuru wote,Superman kwa kuanzisha thread hii na wote walionipendekeza katika hatua za awali mpaka hatua ya kunipigia kura.Nawashukuru sana.
Binafsi huwa ninapenda mashindano ya aina yeyote ile ili mradi tu yafuate taratibu na kanuni.Niliona na kufuatilia tangu mchakato ulipofikia hatua ya kupigiwa kura za kupata mshindi.Ofcoz niliona mapungufu kadhaa lakini by then nilikuwa nimeshachelewa lakini nitayaweka wazi badaye kwaajili ya kusadia michakato kama hii kwa siku zijazo.Shindano lilikuwa dogo laikni limeleta changamoto kadhaa,linahuisha JF na hata chipukizi wengine wanapata morale,wawe wanaume au wanawake.Binafsi nilifurahi nilipopendekezwa and am still proud of it.
Nimesoma mawazo ya Gaijin kuhusiana na mtazamo wake kuhusu tuzo.Amependekeza mimi ndio nipewe tuzo ya shindano hili.Kwa kuwa aliyependekeza naye ni mshindi basi nami nikiwa kama mwanasiasa ninayeamini katika mashindano mbalimbali na kama mwanaharakati wa masuala ya jinsia na ulemavu,nilnayeamini maana halisi ya mfumo dume,Ninaipokea tuzo hii ya shilingi laki moja kwa mikono miwili na kwa heshima na taadhima.
Superman.Naomba zawadi hiyo umkabidhi Maxence kama mchango wangu kwa JF...please fikisha.
Nashukuru sana kuwa JF Woman of the year 2010.
Aluta continua
Where is my money?
Where is my money?