Gaidi leo, Kesho SHUJAA

Gaidi leo, Kesho SHUJAA

David Djumbe

Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
42
Reaction score
36
Kupambana na mfumo mbovu wa utawala ni sawa na kuamua kupita kwenye pori lenye wanyama wakali kama simba ukiwa na kisu tu, utaitwa majina mengi mabaya, kama vile GAIDI, HAINI nk lakini ukishapita tu majina hayo hubadilika na na kuwa sifa kabambe kama SHUJAA, MKOMBOZI nk, Safari hii ni ndefu, tukifa njiani tutakuwa tumekufa kifo kizuri, tukipita tutakuwa mashujaa....kukaa kimya ni bora usingezaliwa, maana hata aliyekuzaa aliumia bure...

Kama unahisi kuna kitu hakiendi sawa kwenye jamii yako, usikae kimya chukua hatua bila kujali hatua hiyo inakuhatarisha vipi, usiishi kwa mazoea..
 
BAVICHA at it's best.

Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt-Abraham Lincoln

Ni vizuri tumeuona ujinga wako.
 
BAVICHA at it's best.

Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt-Abraham Lincoln

Ni vizuri tumeuona ujinga wako.

Ni bora mara kumi UJINGA kuliko UPUMBAVU, maana hata ukielimishwa namna gani utabaki na makamasi vilevile
 
Ni bora mara kumi UJINGA kuliko UPUMBAVU, maana hata ukielimishwa namna gani utabaki na makamasi vilevile
Elimu yako hii ipeleke mitaa ya Ufipa ambako watakuelewa na hizi junk and dross reasoning.

wewe niwa kuhurumiwa tu kwa sababu siyo kosa lako.

Hapo unafikiri umeandika hoja mbadala wakati kuanzia neno la kwanza mpaka la mwishi ni dreck.
 
Back
Top Bottom