Gaidi Hana Rafiki, Dunia Iungane

Ni mpumbavu tu ndiye atawaunga mkono waisraeli
 
Tabia za kuwakaribisha na kuwaficha Magaidi kwenye Jamii zenu zikome mara moja.

Kama mnataka madaraka ya Kisiasa mjiunge kwenye vyama vya Kisiasa mgombee nafasi mchaguliwe.

Uhalifu uliofanywa Kibiti, Tanga na kwingineko haukubaliki tena.

Mkirudia tena tutawashughurikieni na nyie wenyeji wao.
 
Je ingekuwa we ungefanyaje?

 
IDF siyo magaidi. Ni jeshi ambali linapambana na magaidi wanaotaka kuwaangamiza Waisrael.
Wewe ukitaka kutambua ata CIA ni magaidi sawa tu! Kwani ao wanaitambua Hamas magaidi ni washirika wa Israel, na pia Uturuki inaitambua IDF kama magaidi! Kwaiyo ni suala la uamuzi wako tu na ndiyo maana Marekani analitambua jeshi la Iran kama magaidi na Iran analitambua kama jeshi la Marekani kama magaidi.
 

Vyovyote iwavyo. Jambo lililo wazi, kuna watu ni wa hovyo kabisa kwa sababu hawawatakii mema wapalestina. Ndiyo hao wanajifanya wanawapenda, lakini ushauri wao ni wa kuwafanya wapalestina wakose na waangamie.

Mwaka 1947, Wapalestina walipewa 40% ya eneo la Gaza. Wayahudi walipewa 60%. Madai ya wapalestina yalikuwa madogo sana, wakidai kuwa Wayahudi wamepewa arshi nzuri kwa kilimo na pwani yote ya bahari ambayo ndiyo pekee inayowezesha uzushi.

Zikatokea nchi wanafiki za Kiarabu, yakawaambia wapalestina wagomee hiyo 40%, na kwamba nchi hizo zitawasaidia kuhakikisha wayahudi wanateketezwa, na wao wapalestina watapewa eneo lote. Nao wakaamini na kukubali. Mwaka 1948 wakaanzisha vita. Matokeo yake wakapigwa, na Israel ikachukua 60% ya ile 40%. Iran na baadhi ya mataifa mengine ya kiarabu, wakaendelea kuwadanganya wapalestina kuwa eti watawaondoa wayahudi. Mwaka 1967, wakapigwa vibaya, na wayahudi wakachukua maeneo mengine. Vita vya kila mwaka vinaua maelfu ya wapalestina, lakini waarabu wanaendelea kuwadanganya wapalestina, na kwamba waendelee kufanya mashambulizi shidi ya Israel. Kila shambulizi wanalofanya, wapalestina wanakufa karibia mara 15 ya Waisrael, lakini wale wanafiki wanaendelea kuwadanganya wapalestina.
 
Unaweza kutoa sababu iliyopelelea Palestina iliyokuwa na Raia Milion 1.4 ipewe 40% na huku Israel iliyolikuwa na Raia laki 6 akipewa hiyo 60%?
 
Unaweza kutoa sababu iliyopelelea Palestina iliyokuwa na Raia Milion 1.4 ipewe 40% na huku Israel iliyolikuwa na Raia laki 6 akipewa hiyo 60%?
Mimi siwezi kutoa sababu kwa sabau sikuwepo wakati huo, na sijawahi kuyaona yale mapendekezo ya kamati ya UN iliyotumwa huko Palestine na kisha kutoa mapendekezo hayo.

Ninachoweza kusema hapa ni hisia zangu.

Kwanza sijui hiyo taarifa ya kuwa mwaka 1947, waarabu pale Palestine walikuwa 1.4m na Wayahudi walikuwa 0.7m, umeipata wapi.

Ninachojua ni kwamba mwaka 1947, kulikuwa na wakazi 1,970 ndani ya Palestine land. Kati ya hao, wayahudi walikuwa 630,000; wakristo wa jamii nyingine 143,000; na waarabu 1,181,000. Na hiyo ni baada ya Wayahudi wengi kutawanyika kwenda Ulaya. Lakini wakati huo huo, jumla ya wayahudi wote mwaka huo wa 1947, kwa kumbukumbu zilizopo, walikuwa 11,500,000 (hiyo ni baada ya Hitler kuwaua 6,000,000).

Ifahamike kuwa kuanzia karne ya 1 mpaka ya 5, eneo hilo lote, majority population ilikuwa Wayahudi. Waarabu walianza kuwa major population kuanzia karne ya 12.

Yawezekana kuwapa Wayahudi karibia 60% (more precisely ni 55%) ilizingatia population ya Wayahudi ya wakati huo ambayo ilikuwa 11.5m (ukijumlisha na wale waliokuwa wakiishi nje ya Palestina) ukilinganisha na 1.18m ya population ya Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…