babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
........atakua hana kucha macho meno na kama anavyo vitakua vimekufa ganzi!Huyu GADO anaifahamu Mabwepande kweli huyu??? Huyu jamaa hataki watu wa kumshushua eti!
Kisa mwanao kapass ndo maana unasema wakulaumia no.1 ni mzazi.
saudari mwaka huu kulikuwa na watoto wa ndugu wa karibu
hata hivyo ufaulu wao haukuwa mzuri kama wazazi walivyotegemea.
Nasema tu kuwa wazazi tumekuwa na mambo mengi kiasi cha kusahau
kufuatilia hata maendeleo ya watoto mashuleni. Je pale kwako
wazazi huwa wanafika kuuliza maendeleo ya watoto wao?
aliyeshiba hamjui mwenye njaa utajiri walionao wa kuwapa watoto wao kila kitu wanafikiri kila mtu anao,wengine hutegemea nguvu za waalimu maana hata mlo kwao huwa taabu na wakati mwingine hata familia hawaonani nayo tokana na mihangaiko na yote kwa yote unakuta anaipigania hela iliyo chini ya shilingi alfu tano.halafu ina maana hao wazazi wamekuwa wapuuzi zaidi kipindi hiki?Kisa mwanao kapass ndo maana unasema wakulaumia no.1 ni mzazi.
elimu ya tanzania imeharibika 10-15 yrs back. hapa mtu wa kwanza kabisa wa kumlaumu atakuwa ni MKAPA na MUNGAI WAKE.
ezi za mwl kiwango cha wasomi /usomi kilikuwa juu zaid ukilinganisha na sasa licha ya mashule mengi kuwepo.
ukija na takwimu za enzi za uhuru wasomi walikuwa about 60% ya watanganyika wote lkn leo hii kiwango hiki kimezidi kushuka licha ya kuwa tuko kwenye sayansi na teknolijia, miundo mbinu ya elimu mizuri kidogo kuliko awali na hata mwamko wa elimu kuwa mkubwa kuliko zamani.
Prof Possi aliwah kusema kwenye mkutano mmoja wa elimu kule taasisi ya ukuzaji mitaala kwamba mtaala uliopo lazima ututengenezee wafeliji wengi zaid, serikali ilidiriki hadi kutoa fedha kazi ifanyike kurekebisha mitaala, hela zikatiwa kapuni mtaala haukupatikana, hata alichokuwa anasema MBATIA ni kweli na nafkiri aliliua hli manake taasisi ya ukuzaji mitaala haikufanya kazi yake ipasavyo. sasa sijui nisemeje zaid ya kusema ngoja tuone game inaishaje hii.[/Qlakini serikali si ile ile kilichobadilika si watu tu ,kwani nani alivumbua shule za kata?sirikali ya chama ha mapinduzi hakuna kunyosheana vidole hapo wote wananuka kinyesi.
Huyu GADO anaifahamu Mabwepande kweli huyu??? Huyu jamaa hataki watu wa kumshushua eti!