Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Hao wabebaji wa mbele ni kama Chinga na Mkwere[emoji16][emoji16][emoji16]Hicho kichapo kinachoendelea hapo pembeni kinanichekesha kama mazuri vile![emoji1787]
~SourceπW instagram page
View attachment 1375394
Mkoa wa Mbeya nchini Tanzania.
The Professor of trash.Katika wabebaji, kuna mmoja kaangalia upande wa kamera. Full kutoa macho. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,Kumbe tupo nae hapa BongolandMkoa wa Mbeya nchini Tanzania.
Anafanya kazi Kenya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpakwa Mafuta
Huyo alieangalia camera ndiye aliesema jiwe for life!Katika wabebaji, kuna mmoja kaangalia upande wa kamera. Full kutoa macho. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mtanzania ila haishi Tanzania
Ndio wao ππππ
Mzee wa JalalaniThe Professor of trash.
Naon pm yupo piaWaliobeba nimemuona Musiba, Disi Sabaya, Mzee wa Malofa, Prof.Lipumba; Dr al Bashiru, Bashite, Faster Faster nk.
Wanaokongoli yuko Mamboleo, Kamanda Zirro, Murroto... mwenye machine nimemsahau
hata aliebebwa nmemsahau,japo anafanana na Tundu Lissu
Sent using Jamii Forums mobile app