Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
Daaah hatari sana kama hadi kapewa Discovery kweli yeye ni Deal Jana nilimsikia kaanza Jahazini na KibondeUshahidi huu, mkataba na gari juu
Daaah hatari sana kama hadi kapewa Discovery kweli yeye ni Deal Jana nilimsikia kaanza Jahazini na KibondeUshahidi huu, mkataba na gari juu
Dah! Uko too obsessed nduguMkuu Hujafurahi Kama Mimi Nilivyofurahi. Yaani Sijui Niwape Pongezi Gani Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani WAMENIKUNA PANAPOTUKUKA Na Sasa Mimi Na Clouds FM Na Clouds FM Na Mimi. Nilipowasikia Akina Dada Fina Na Kaka Masoud Kipanya Asubuhi Na Kuthibitishiwa Kuwa Wamerudi Nyumbani Rasmi NILIRUKA Kwa Furaha Kubwa Mno.
Dah! Uko too obsessed ndugu