Gaddafi's Female Super Guard

Mtu atakayeweza kuwapata hawa wadada akawahoji na kuandika kitabu kuhusu wao atapata fedha ya kutosha maana wengi wanapenda kujua Gadafi alikuwa anawapataje na walikuwa wapi siku anauwawa
 
NTC wasubiri kiama, hawa wameondoka na binduki zao na dora za kutosha- round ya mtoano yaja.
 
Hawa walikuwa "watumwa wa ngono" wa Col. Gaddafi ... Na ndiyo maana dakika za mwisho hakuonekana akiwa na hata mmoja pembeni yake!
 
kuna kamoja kana baby-face hv naona kametokea picha kadhaa.., na bonge bonge nae, labda ndo walikua suitors
 
Dunia hii! Hata kutambua ukuu wa mtu...Gadhafi alikula raha bwana
 
That's why I don't trust women... Ka walikuwa Askari kweli wangefight hadi tone la mwisho tena inaelekea hawa mademu ndo walisnitch where abouts za Ghadafi never trust those people wanawake ahaaaa ham a
 
i heard one of the condition before they become his bodyguards is they have to be virgins!!
 
Kwani hao ni walinzi au wapambe?

Sioni hata mmoja mwenye sifa ya kuwa Mlinzi wa Rais
 
Qadafi bana!! Alijichaguliwa style yake ya maisha!!! RIP african hero!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…