Uwezekano kuwa anawatumia kama VIBURUDISHO na siyo walinzi ni mkubwa, walinzi hawajionyeshi namna hiyo, walinzi wenyewe wapo wanajificha, hao ni wapambe tu kama Matron kwenye harusi
Viper, kuna kitu hujakisema kuhusu sifa za ziada za hao mabody guards,
1. Kwanza lazima uwe sealed, ili uwe very loyal and genuine loyality kwa atakaekutoa hiyo seal!
hivyo hao mabody guards wote ni ama still sealed, na mwenye ufuanguo wa seal hizo ni mwenyewe!.
Mshimshutumu sana Ghadafi, msisahau, ni shemeji yetu!, na mchuma janga, hula na wakao!.
Alimmega mke wa aliyekuwa kuwa rais wa kule Zanzibar!
Alikuwa shemeji yetu kwa nani....? Mimi sijaelewa hapo babaViper, kuna kitu hujakisema kuhusu sifa za ziada za hao mabody guards,
1. Kwanza lazima uwe sealed, ili uwe very loyal and genuine loyality kwa atakaekutoa hiyo seal!
hivyo hao mabody guards wote ni ama still sealed, na mwenye ufuanguo wa seal hizo ni mwenyewe!.
Mshimshutumu sana Ghadafi, msisahau, ni shemeji yetu!, na mchuma janga, hula na wakao!.
Hao mabodgad wote waliuawa.When gaddafi's adopted daughter died in her memories he decided to keep all female guards as they're loyal.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Baada ya waasi kuzitumia fursa adimu za bikra walizokuwa nazoHao mabodgad wote waliuawa.
Niambie mtaa watakao kuwa wanalinda ili wanikamate usikuNa mimi naanzisha kikosi cha sungusungu wanawake.