Gaddafi threatens attacks in Europe if NATO continues Air Campaign

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
July 1, 2011

moammar-qaddafi.jpg

Image: LeStudio1.com via Flikr

Libyan President Moammar Qaddafi reportedly called on NATO to halt air strikes on his country or face a "catastrophe" according to
Reuters.

Denouncing an arrest warrant issued by the International Criminal Court last week for his alleged war crimes against opposition forces, Qaddafi called for NATO to back down or risk attack on its European soil.

"We advise you to retreat before you face a catastrophe," he said, addressing supporters by telephone from an undisclosed location. "I advise you to ground your planes ... and to hold discussions with the Libyan people."

Qaddafi has been implicated in directly ordering the bombing of Pan Am Flight 103 over Lockerbie, Scotland in 1988, which resulted in the deaths of 259 passengers and 11 people on the ground.
 
Ila wazungu wakikuchukia watafanya kila zengwe uchape mwendo Pole Gadafi ndo dunia ya kibepari hii.
Kheri uwaachie wanachotaka kuokoa maisha ya watu wako
 
They got him exactly where they wanted him to be. These kind of rhetoric gives NATO reason to paint him as a terrorist. And confirms his past actions like Lockerbie bombing and the other killings. It serves well for NATO and their propaganda than for him.
 
Qaddafi has been implicated in directly ordering the bombing of Pan Am Flight 103 over Lockerbie, Scotland in 1988, which resulted in the deaths of 259 passengers and 11 people on the ground.

Huu sasa ni unafiki wa wazi kabisa, huyu Jamaa si alishakubali kulipa fidia kwa Ndugu na Jamaa wa Wahanga wa lile shambulio? Tena Baada ya hapo nakumbuka Libya iliweza kusamehewa na kuwa rafiki wa US kipindi cha Bush Jr. Inakuwaje tena leo hii anashambuliwa na wanakumbushia makosa ambayo wenyewe walikubali kuyasamehe?
 
I agree Gaddafi has made a grave mistake to utter that! They are going to use all media powerhouses like CNN, BBC even AL Jezeera to tag him as a terrorist and consequently terminate him like Saddam Hussein... !! Lets wait time will tell!
 
Ningekuwa mimi ndo Gaddafi, baada ya uvamizi wa zile siku za mwanzoni kabisa, ningekuwa nilishajibu mapigo. Maana nina uhakika Ghaddafi alikuwa na nguvu zote za kujibu mapigo those days. Na kwa namna nyingine, ukishajua kwamba hawa jamaaa wanatafuta kukuua (kama walipoua mwanae na mjukuu) unasubiri nini tena? Nisingekubali kufa kabla ya kuwafundisha somo wazungu. Ningehakikisha ninapokufa mimi, na wazungu kadhaa wawe wameondoka, tena ningepiga mji mhimu wenye idadi kubwa ya watu (London, Paris, New York etc).

Angalau shambulio moja linatoka na watu laki moja hivi, halafu naanza mkakati wa kujificha wasinikamate. Au hata wakinikamata nakuwa nimeacha historia. Katika hilo nisingefanya ajizi. Nashangaa jamaa anawatangazia badala ya kujibu mapigo.
 
Kiukweli hawa wazungu ni watu wabaya sana na wanafiki wakubwa sana..hawafai kabisa these are dogs...ni bora Afrika ingetoa majeshi kwenda kumsaidia...mana alivosema hivo ndio sababu kamili ya kumuua na wale vibaraka wao watachukua nchi lakini watakuja kuwaua pia...
 
hizi ni kauli za kuwapoza supporters wake. miundo mbinu yake ishaharibiwa vibaya na hata akijaribu kushambulia miji ya wazungu kwa sasa, ishaelekea jioni. kachelewa vibaya sana big brother
 
With the this utterance from Libyan Leader NATO will use its military muscle and media to eliminate him. Let us wait and see.
 
July 1, 2011

moammar-qaddafi.jpg

Image: LeStudio1.com via Flikr

Libyan President Moammar Qaddafi reportedly called on NATO to halt air strikes on his country or face a "catastrophe" according to
Reuters.

Denouncing an arrest warrant issued by the International Criminal Court last week for his alleged war crimes against opposition forces, Qaddafi called for NATO to back down or risk attack on its European soil.

"We advise you to retreat before you face a catastrophe," he said, addressing supporters by telephone from an undisclosed location. "I advise you to ground your planes ... and to hold discussions with the Libyan people."

Qaddafi has been implicated in directly ordering the bombing of Pan Am Flight 103 over Lockerbie, Scotland in 1988, which resulted in the deaths of 259 passengers and 11 people on the ground.

Nimeicheki hii post iliwekwa since 01st July 2011, lau kama Gaddafi angefanya kwa vitendo kipindi hicho (mwezi wa saba) ingekuwa poa but for now it's getting late kwa kuwa kazidiwa nguvu na vibaraka kupitia support za kijeshi na media za wakoloni.

Welcome ANOTHER Somalia (former peaceful Libya).
 
Mohammed Gaddafi, one of three sons of the Libyan leader captured by rebels during the takeover of Tripoli, has escaped house arrest with the help of loyalist fighters...!
 
wengi wanaweza kuwa wamefurahia kilichotokea libya lakini sishangai hata siku majeshi ya marekani yalipo uteka mji mkuu wa iraq baghdad watu walishangilia hivyo hivyo lakini leo wanalia wanajuta na washaona kwamba uhuru waliokuwa wanadhani wataupata hakuna lolote.

japo kuna mengi mabaya yamefanywa na gadaf lakini mazuri pia ni mengi. nchi ngapi barani afrika zina azina ya mafuta lakini ni libya tu ambapo huduma za msingi za kibinadam ni bure. hakuna mtu kulala njaa, elimu bure, serikali inajinga hata nyumba kwa wananchi bure, afya bure na mengine mengi tu. lakini nina hakika sasa yote yamefika kikomo wewe ngojea tu tutakuja kuambiana.

kwanza sidhani kama kutakuwa na amani, hao hao waasi wataanzisha makundi baina yao kugombea madaraka kwa kuwa ni wazi watu wajitolea kupigana na gadafi ili akianaguka waweze kuambulia madaraka sasa najua watakapo yakosa hapatakalika.

AU haina lolote na hao Waarabu aliosimamia kuwatetea mpaka leo wanafaidi mafuta nao wamemgeuka. but Kwangu Gaddaf was one among many leaders whom i do respect.
 
Back
Top Bottom