Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Kwa kweli ni bora nionekanane sina moyo wa uzalendo kwa kusikitishwa na kifo cha Baba wa Bara.Katika vita kati Tanzania na Uganda Libya ikiwa chini ya utawala Gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya Uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na Uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Idi Amin Dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha Gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?
nakubaliana na wewe kuhusu msaada aliopewa idd amin
lakini siwezi kufurahia kifo cha aibu namna ile,nataka ujue sababu za wazungu kumwondoa gaddafi kwa aibu
Naona umekaa kilofa zaidi..... Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?
hayo yalishapita!! Mbona mkwerè amenda sana libya na kama kawaida kapiga naye picha kibao..kuonesha mambo yalikuwa fresh.
Kwani ****** sio Mtanzania? Mada yangu ya msingi inahusu mtanzania yeyote bila kujali nafasi yake katika uongozi wa nchi hii. Kama ****** alikwenda huko na kupiga picha nae, sio kweli kwamba eti mambo ni fresh kwa wengine, hii ni dalili ya kwamba mkuu hakuwa na wala hana mtazamo kama huu nilionao mimi. Upo hapo?Hayo yalishapita!! Mbona mkwerè amenda sana libya na kama kawaida kapiga naye picha kibao..kuonesha mambo yalikuwa fresh.
ulitaka wamwondoe huku wanampiga kissi???eehh
Basi kama ni hivyo Waganda leo wangesherekea kufa kwa Nyerere kwani ndiye aliyemsaidia Obote kuuwangusha utawala Sir.Edward Mutesa na pia akamsaidia M7 ambaye naye ameua wengi na bado anaua wengi.Gaddafi katoa misaada mingi Afrika ya kiuchumi,kielimu na kiimani.Viongozi wa tanzania wangapi kumtoa Nyerere ambao wamesaidia nchi za kiafrika ki uchumi,kielimu na kiimani ambao ata nchini mwao wameshindwa.
Basi kama ni hivyo Waganda leo wangesherekea kufa kwa Nyerere kwani ndiye aliyemsaidia Obote kuuwangusha utawala Sir.Edward Mutesa na pia akamsaidia M7 ambaye naye ameua wengi na bado anaua wengi.Gaddafi katoa misaada mingi Afrika ya kiuchumi,kielimu na kiimani.Viongozi wa tanzania wangapi kumtoa Nyerere ambao wamesaidia nchi za kiafrika ki uchumi,kielimu na kiimani ambao ata nchini mwao wameshindwa.
Katika vita kati Tanzania na Uganda Libya ikiwa chini ya utawala Gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya Uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na Uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Idi Amin Dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha Gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?
mkuu ndie aliewajazia misikiti kule bagamoyo na ndicho alichokifurahia kwenye picha zake na gadafi mkulu huyu badala ya kumpa uwanaja ajenge shule watu wasome anaenda anje ya nchi kuomba pesa za kujenga misikiti laana huyu kanakwamba atuna hela za misikiti...ogopa shida nakwambia maishan mwako
una busara wewekatika vita kati tanzania na uganda libya ikiwa chini ya utawala gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa idi amin dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanajf kuhusu mtazamo wangu?