Gaddafi Calls for Holy War against Switzerland | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gaddafi Calls for Holy War against Switzerland

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Feb 26, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager

  #1
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 135
  Libya's Gaddafi urges 'holy war' against Switzerland


  [​IMG]

  Muammar Gaddafi has reportedly been blacklisted by Switzerland


  Libya's Muammar Gaddafi has called for a jihad, or holy war, against Switzerland, as an ongoing diplomatic row between the two nations heats up.
  He criticised a recent Swiss vote against the building of minarets and said Muslims must boycott the country.

  There have been tensions between the nations since 2008, when one of Mr Gaddafi's sons was arrested in Geneva, accused of assaulting two servants.

  A Swiss foreign ministry spokesman declined to comment on the jihad call.

  The Libyan leader made his comments while speaking at a meeting to mark the birthday of the Prophet Muhammad.

  "Let us wage jihad against Switzerland, Zionism and foreign aggression," he said.

  "Any Muslim in any part of the world who works with Switzerland is an apostate, is against Muhammad, God and the Koran."

  In a referendum last November, 57.5% of Swiss voters approved a constitutional ban on the building of minarets. An appeal against the ban has been submitted to the European Court of Human Rights.

  Charges dropped

  Earlier this month, Libya stopped issuing visas to citizens from many European nations, prompting condemnation from the European Commission.

  Libya's move came after Switzerland allegedly blacklisted 188 high-ranking Libyans, denying them entry permits. The Swiss ban is said to include Mr Gaddafi and his family.


  [​IMG]  Hannibal Gaddafi's arrest in 2008 sparked the diplomatic spat


  The row began after the arrest of Mr Gaddafi's son Hannibal and his wife, Aline Skaf, in Geneva in July 2008.

  They were accused of assaulting two servants while staying at a luxury hotel in the Swiss city, though the charges were later dropped.

  Libya retaliated by cancelling oil supplies, withdrawing billions of dollars from Swiss banks, refusing visas to Swiss citizens and recalling some of its diplomats.

  In the same month that the Gaddafis were arrested, Libyan authorities detained two Swiss businessmen, in what analysts believe was a retaliatory move.

  One was finally allowed to leave the country earlier this week but the second was transferred to jail, where he faces a four-month term on immigration offences.

   
 2. bona

  bona JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,794
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  anawazuga alivyosurrender kwa wamarekani sifa ya yake na heshima ikapotea, wamarekani na waingereza sasa ivi ndio wanachimba mafuta libya na basically ndio wanaiendesha, mbona alilipa lockerby bombing victim? mbona ali give up wepon of mass destruction programme? anawafool waarabu wenzake wamuone mwenzao! yeye alishajisarimisha mda tu!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,486
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Jamaa ana high doses za NPD..kaa mtoto mdogo aliyenyang'anywa toy. Chanzo cha yote ni familia yake kuguswa ktk domestic violence against wajakazi wake..
   
 4. H

  Hosida Member

  #4
  Feb 26, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli anawadanganya wenzake. Anajiharibia umaarufu wake kwani anaonesha wazi kabisa hayuko Objective katika uongozi. Yeye alitaka mwanae asifiwe kwa uovu aliofanya? Haiwezekani. Kutangaza vita vitakatifu kwa sababu mwanae katuhumiwa ni uamuzi usijali maslahi ya walio wengi kwani huko ni kuharibu amani ya Dunia.

  Bado tuna tatizo juu ya viongozi wa ngazi za juu hususan marais barani Afrika. Yaani bado kuna ile hali ya kuwalinda watoto wa familia za vigogo hata katika kashfa na makosa makubwa.

  Generally, in africa we do not have Objective leaders.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,486
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa ni mwenda azimu.. he he he..

   
 6. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ataka atuingize katika uginvi wa familia yake na Swiss. Kichaa kweli kweli
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,552
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Kwa kisa kipi watu waanze hiyo Jihad? Haiwezekanai kumaliza matatizo kwa kuongea tu? Ghadafi siku zote ni mtata mtata.
   
 8. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,632
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Haya ni matumizi mabaya ya dini. Ni uovu mkubwa na aibu kubwa sana kwa Raisi mzima kunuwia kutumbukiza dunia katika mgogoro unaohusu yeye na familia yake tena kwa kutumia mwelekeo haramu kama huo. Naamini waislamu duniani watatambua na kutupilia mbali wito huu wa kishetani. Ingelikuwa jambo la kufurahisha na kupongezwa kama angejitokeza Maalim mmoja akampinga hadharani ili kuwaadabisha watu kama hawa wasiokua na aibu.
   
 9. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Huyu ndie rafiki wa Tanzania!Alitupa msaada wa mafuriko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,486
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Matatizo yake yanaweza yakawa traced kutoka kwa ungumbaru. Jamaa inaonekana alienda vidudu tu na madrasa kabla ya kuingia jeshini.

  Kutoka kwa wikipedia tunasoma yafuatayo.

   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  huyu ni mwendawazimu hapo anatafuta ndiyo ya wendawazimu wenziye, kwani nani kaseama hakuna solution myimgine zaidi ya kupigana pigana? Kwanza lazima ajue hii si dunia ya kutumia risasi kweny kutatua matatizo, shame on you Gaddafi
   
 12. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hakika umesema kweli, elimu karirishi (madrasa) nayo ni tatizo,
   
 13. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Amekuwa madarakani tangu 1969!Libya ni kama toy yake!He can do what he wants.
  Na sisi Tanzania tunamuenzi sana,though he gave Idd Amin assistance during Ugandan war.
   
 14. B

  Bull JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni upungufu wa kuelewa neno #JIHADI# wengi wakilisikia hawafikirii vingine zaidi ya vita, Jihadi ina maana mengi

  Na jihadi kwa maana ya holy war, inasheria zake na sio kila mtu ataitisha jihadi, ni lazima kwanza itolewe fatwa ambayo Gadafi hana utaalam huo wala sifa ya kutoa fatwa
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 17,560
  Likes Received: 5,124
  Trophy Points: 280
  Mawazo haya msije mkadhani ni ya huyu jamaa peke yake, WAISLAMU WOTE WATAMUUNGA MKONO.................
   
 16. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Bull,unamuunga mkono Gadaffi na jihadi yake kwa Uswiss?Minaret????Mtoto wake playboy???
   
 17. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kumbe maana nyingine ya Jihad nini?
   
 18. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,720
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Gaddafi ni Ibilisi katika ngozi ya binadamu, hayuko sawasawa (amepagawa)! Hebu tujiulize na watetezi wake watupe majibu; Je; ni rahisi kiasi gani kujenga Makanisa katika Libya na nchi nyingine za Kiarabu?

  Katika kuonyesha Uibilisi wake amenukuliwa akiojumuisha 'maadui' wote wa Uislamu kuwa "Let us wage jihad against Switzerland, Zionism and foreign aggression," Sasa hapa Mazayuni (Wayahudi) na mataifa mengine wanaingizwaje kwenye marufuku hii ya Uswis na Jihad hiyo ya Gaddafi?
   
 19. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #19
  Feb 28, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,754
  Trophy Points: 280
  -something is wrong with this guy.kumbe inawezekana hata mambo mengi ambayo amekua akisema na ya msingi ilikua bahati mbaya tu?

  -Jihad kwa sababu ya ufedhuli wa mtoto wake? Huyu mimi natafsiri kama anadharau watu wote vile
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,486
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa wamelishwa ngama..hakuna atakaloelewa. Ndo inapokuja ile concept ya kupigwa muhuri wa kupotea..hata aambiwe nini hatosikiliza.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...