Gaddafi calls black africans "ignorant"

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Gaddafi wants EU cash to stop African migrants

_48927230_bothrtr.jpg
Despite historical tensions Col Gaddafi has forged friendlier relations with Italy
Libyan leader Col Muammar Gaddafi says the EU should pay Libya at least 5bn euros (£4bn; $6.3bn) a year to stop illegal African immigration and avoid a "black Europe".
Speaking on a visit to Italy, Col Gaddafi said Europe "could turn into Africa" as "there are millions of Africans who want to come in".
Italy has drawn criticism for handing over to Libya migrants it intercepts at sea, without screening them first.
Far fewer now reach Italy from Libya.
Continue reading the main story “Start Quote

We don't know... what will be the reaction of the white and Christian Europeans faced with this influx of starving and ignorant Africans”
End Quote Col Muammar Gaddafi
European Commission figures show that in 2009 the number of people caught trying to enter Italy illegally fell to 7,300, from 32,052 in 2008. The data was collected under the EU's Eurodac fingerprinting system.
Col Gaddafi has forged close ties with Italy since a friendship treaty was signed two years ago. It sought to draw a line under historic bitterness between Libya and Italy, its former colonial master.
"Tomorrow Europe might no longer be European, and even black, as there are millions who want to come in," said Col Gaddafi, quoted by the AFP news agency.
He was speaking at a ceremony in Rome late on Monday, standing next to Italy's Prime Minister Silvio Berlusconi.
"We don't know what will happen, what will be the reaction of the white and Christian Europeans faced with this influx of starving and ignorant Africans," Col Gaddafi said.
"We don't know if Europe will remain an advanced and united continent or if it will be destroyed, as happened with the barbarian invasions."
Audience of women Col Gaddafi has long seen himself as a champion of African interests on the international stage and has hosted many summits with African leaders.
Mr Berlusconi made no immediate comment on Col Gaddafi's demand.
Italy has been carrying out joint naval patrols with Libya for the past year, intercepting illegal migrants at sea.
The BBC's David Willey says Col Gaddafi's visit to Rome was overshadowed by another controversial speech he made - to two groups of several hundred young Italian women, hired at a fee of 70 or 80 euros each from a local modelling agency.
He told them that Islam should become the religion of Europe and gave them free copies of the Koran, after he had lectured them for an hour on the freedoms enjoyed by women in Libya.

source: BBC News - Gaddafi wants EU cash to stop African migrants.

Huyu mzee anaumwa sasa. Na kama yeye ndiyo anajiita King of Kings wa Africa, basi na awe pia King of Ignorants.
 
Ila anachoendea Italy nimekipenda ie fidia ya Italy kuitawala Libya,sijui Tz tukianza kudai fidia sijui tuanze na Ujerman then UK
 
Ila anachoendea Italy nimekipenda ie fidia ya Italy kuitawala Libya,sijui Tz tukianza kudai fidia sijui tuanze na Ujerman then UK

Labda fidia iingizwe katika kila account ya Mtz binafsi vinginevyo hatuwezi faidi lolote na ufisadi huu!
 
gadaf and amin grabbed our sovereign land....we chased them out....they for sure know who we are...!
 
Ila anachoendea Italy nimekipenda ie fidia ya Italy kuitawala Libya,sijui Tz tukianza kudai fidia sijui tuanze na Ujerman then UK
Sawasa lakini usisahau akina Massai walianza kuvamia TZ karne ya 19 halafu Wameru waliotoka Kaskazini karne ya 18 halafu Wajaluo wa Tz waliingia tangu karne ya 17 - eeh nisisahau Wangoni hao walingia kwa mabavu kabisa karne ya 19 pia (labda Mugabe anaweza kutoa bilioni kadhaa za senti zake ingawa pesa yake hainunui kitu maana chifu Songea alikuwa asili ya Washona), kumbe na tusisahau hao Bantu kwa ujumla!! Maana hawa ni wabaya kushinda wote walitwaa karibu nchi yote miaka 1500 iliyopita - watakaopokea ni akina Hadzabe maana wale ni wenyeji asilia pekee yao.

Kuhusu Wabantu sijui bado tufanye nini? Tuwahurumie walipe tu fidia kali au tuwafukuze wote warudi walipotoka??
 
Naona huyu mzee anakolekea ni kubaya zaidi kuliko alikotoka.

Hapa huyu babu anayo argument, jamaa wanaongopeana sana huko kwenye nchi zingine (hapa ndio najisifu watanzania kwa kweli risk za kijinga atuchukui). Miafrika inapakizana kwenye mabasi only to cross the desert na safari ya karibu mwezi na nusu kwa miguu bila ya medical equipment, enough food nor water kibaya zaidi kuna na watoto at times na wanawake.

Matokeo yake wengi uishia kufa kwenye jangwa na wale wanao survive dakika za mwisho mpaka nguo uona zina uzito mwilini mwao, sasa wanapita ndani ya mipaka ya Libya hivyo human rights groups wameispresha hiwe ina intervine kuokoa maisha ya watu. Ingawa hawa watu hawaingii Libya ndani, bali Libya wametakiwa kwenda kwenye jangwa kuwakamata na kuwaokoa kwakuwa wengi hawajui what lies ahead of their journey.

Matokeo yake wamebidi wafungue camp huko huko desert na inajaa kila siku watu kutoka West Africa na Somalia, sasa nani awagaramie na watu wenye walikuwa wanaelekea Italy wao (Libya) wamelazimishwa na Italy pamoja na UN wawe wana intervene. Someone has to share the burden
of looking after the camp and paying for monitoring the migrants crossers in the desert.

Kibaya zaidi hata huko Italy wakifika jamaa hawawataki, before ilikuwa wanakimbilia ufaransa na Calais sasa kuna tight border controls hivyo Italy inabaki kuchukua mzigo ambao hawautaki tension kila siku na locals huko. Tell me this is not an ignorant African to make matters worse Libya imelazimika kuchukua watoto na wanawake as refugees inside its mainland na wasiwaweke kwenye camps.

Source BBC Documentary (try find in BBCi archives if its still there)
 
...well said mkuu....kuna mijitu humu ndani haijui kiingereza..ilikuwa teyari imeshaanza kumlalamikia Gadafi...wakati hawajafahamu hata hii mada....na hawa pia ni MA IGNORANTS....SHENZ TYPE
 
...well said mkuu....kuna mijitu humu ndani haijui kiingereza..ilikuwa teyari imeshaanza kumlalamikia gadafi...wakati hawajafahamu hata hii mada....na hawa pia ni ma ignorants....shenz type
nashindwa kukupata mkuu, suala ni lugha (kiingereza) au mtazamo wa mtu kuelekea kile ambacho gadafi ameongea.
Tafadhali kwa ufafanuzi zaidi.
 
...well said mkuu....kuna mijitu humu ndani haijui kiingereza..ilikuwa teyari imeshaanza kumlalamikia Gadafi...wakati hawajafahamu hata hii mada....na hawa pia ni MA IGNORANTS....SHENZ TYPE

Wacha ujinga wewe. Kwa nini unajisifia kujua kiingereza? inaonekana haujiamini, kwa nini usijisifie kujua kiswahili?
Gaddaffi amesema waafrika wasiende kwa sababu "Tomorrow Europe might no longer be European", wasiende Ulaya kwa sababu ni "ignorants" na wasiende Ulaya kwa sababu ulaya ni ya wakristo
"We don't know... what will be the reaction of the white and Christian Europeans faced with this influx of starving and ignorant Africans"
Kwa kifupi jamaa alikuwa anawaonya wazungu kwamba wampe hela ili azuie Ulaya isije ikajaa watu weusi, kwa sababu watu weusi ni wapumbavu. Na sio kwa sababu wanateseka wanapovuka jangwa au kwa sababu za kibinadamu kama mkuu Juma Contena alivyojenga hoja hapo juu. Kama wewe ni mwafrika na unakubaliana na Gaddaffi inamaana wewe ni mpumbavu na haustahili kuishi Ulaya. kwamba IQ yako ni ndogo, hauna uelewa, kwamba ukienda Ulaya utaichafua n.k, ndivyo anavyosema Gaddaffi.

Nkrumah,

Kwanza hayo ya lugha mimi simo, hila nadhani 'Boflo' kaunga hoja kutokana na politics behind it nilizokuwa namaanisha. Sijakataa kama lugha iliyotumiwa na Gaddafi ni ya kejeli ila kuna ukweli fulani kwenye maneno (hata kama labda pengine ni maneno ya mwandhisi mwenyewe tu though i wont be suprised if they came straight from Gaddafi's mouth). Kuna tension kubwa huko Italy ya migrants from africa na wanavyoishi huko amini hata Kenya afadhali (joke) hila jamaa wanaishi kinyama kabisa na wamewekwa sehemu mbaya sana kwenye nyumba za magofu no running water, no heat na sijui kama unaelewa winter la Italy ni balaa.

Italy inawakataa kuwapokea bali kwa kuwa wanakamatwa wakiwa ndani ya national waters kabla ya kufika Italy, kama vile wanavyokamatwa wakiwa kwenye desersts za Libya. Kila nchi inajukumu la kuwasaidia refugees under Geneva Conventions, hivyo hawana budi zaidi ya kuwapeleka Italy. Na walikuwa wengi kama ripoti ulivyoisoma na wamepungua kutokana na msaada wa Libya intervention. Hapa kulikuwa na documentary ambayo mwandishi alianza safari na baadhi ya hawa wasafiri from Ghana mpaka wanapo jaribu kufika Italy. Yeye mwenyewe mwandishi ilibidi aachane nao baada ya kufika kwenye jangwa kabla hawajaanza safari.

Baada ya hapo akaenda Libya akawa ana patrol na polisi wao, huwezi kuamini kwanza wengi wanaokamatwa wanaona kama vile baraka jinsi walivyokuwa na hali mbaya. Yule mwandishi akawa ana pelekwa na maaskari kuonyeshwa jinsi mafuvu yalivyojaa kwenye jangwa kutokana na hizi gamble za safari.

Na hii yote ilitokana na pressure from human rights groups and EU for Libya to act, wakati huo huo Italy walioomba Libya personal hiwe inawakamata. Na kama nilivyokwambia wakifika Italy ni tabu nyingine kwanza muda si mrefu kulikuwa na ngumi huko kati ya locals na hawa waafrika. Hii ndio sababu jamaa atakuwa anadai hiyo posho hila ni nyingi mno kwa kazi anayoifanya si unajua ni mropokaji ki-ainaa. Hila that is the politics behind it yeye kuzungumza mambo ya uhamiaji na watalioano wanamakubaliano ya wao na yeye kukamata wahamiaji kama data zinavyokwambia since their intervention wimbi limepungua kwa kiasi kikubwa.
 
Br. Juma sikuelewi unawezaje kutetea kauli za kifidhuli na za kishenzi za huyu Mwarabu koko mbaguzi.

Unataka kusema kwamba hawa immigrants sio ignorants, ni watu wenye akili zao ambao at least wapo radhi kuchukua mdhamana na kuifuata neema kule ilipo na kutokaa kitako kusubiria neema iwaangukie. These are true soldiers, as the artist 50 cent would have put it, get rich or die tryin', Huezi ukawafananisha hawa immigrants na mathalan watu wapuuzi wanaoishangilia CCM.
 
...well said mkuu....kuna mijitu humu ndani haijui kiingereza..ilikuwa teyari imeshaanza kumlalamikia Gadafi...wakati hawajafahamu hata hii mada....na hawa pia ni MA IGNORANTS....SHENZ TYPE
Kwenda zako huko, kwanza una udhu?
 
Gadafi ni mwehu, siku alibwabwaja UN hakukuwa na ubishi kuwa huyu bwana kichwani kumejaa madudu!
 
images

Kaka hapo ndio wanasubiri msaada utokee

images

Hii ndio welcome to Italy na jamaa ndivyo wanavyo wa-treat

images

Hapo ndio polisi wamewavamia kwenye mapango yao wanayoishi

images

Hapo ndio malazi ya kutengeneza mwenyewe

Hapo ndio jikoni kaka
images

au kulala tena ni hivi

images

Lishe nyingine ni hii tena hawa ni missionaries tu kwa kuwa hurumuia, lakni serikali ya Berlusconi haiwataki kabisa.

For pictures africans migrants in italy - Google Search

Kaka hii si kumtetea huyu mzee, bali hawa jamaa hawajui mbele ni kitu gani kina wasubiri hata wakifika huko ni wale wenye connection sehemu zingine ndio upeta labda ndugu zao washawatungia passport za kusambaa lakini waliobaki ni taabu tupu. It is ignorance not by choice but merely being misinformed on what they embark. Kwa sababu the end results kama unavyoona that is real and it is causing a concern kwenye jumba la mataifa lakini no one wants to share the responsibility atlest wanaopokelewa na meli za spain kuna afadhali wakifika huko lakini huko Italy kaka ni noma.

Gaddafi ajali kwanza hata huko kwenye jangwa anapowaweka ni kama jela hila hawa waafrica kwa kweli they no nothing on what lies ahead to think wanatumia mmpaka 'paundi elfu mbili' to fund for the journey one has to conclude ignorance plays apart si kumuunga mkono Gaddafi bali ndio ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom