Gaddaffi na Kashfa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gaddaffi na Kashfa

Discussion in 'International Forum' started by Exaud J. Makyao, Feb 16, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inasemekana kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Rais Gaddaffi, amekumbwa na kashfa ya mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja wa ukoo wa kifalme huko Uganda.Habari hizi ni kwa madai ya gazeti liitwalo Red Paper huko Uganda.
  Wana JF fuatilieni tetesi hizi na kuweka wazi kinachojiri.
   
 2. g

  geek Member

  #2
  Feb 16, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni Red Pepper, pilipili kali!kesi imefikishwa mahakamani, Red Pepper walipewa 24 kuomba radhi wakagoma.

  jamaa wanadai wana ushahidi wa kutosha, Gadaffi awasubiri mahakamani.
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Samahani,
  Ni gazeti la RED PEPPER.
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Gadaffi atamweza wapi mwanamke wa Kiganda jinsi wanavyojua mapenzi???

  Naona babu huyu atulie tu huko Libya na waschana wakiarabu!

  Mambo ya kiganda hayawazi!
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzalendo hayo ni kutokana na uzoefu? LOL
   
 6. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huenda hizi ni njama za Museven za kumchafulia jina uhusiano wao sio mzuri kwa sasa.Bw.Habib Kagimu ana more influence than president in Uganda and Mr.president is not happy about that.The fact is he can not even push Mr.Kagimu out of his circle so he use a newspaper.

  SAHIBA.
   
 7. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I mean mbinu za Museven kumchafulia jina Ghaddafi.
   
 8. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I guess the dude has 'true' liking to Buganda blood... isn't he the only one who helped Idi Amin fight Tanzania?
   
 9. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwani gazeti lililo andika ni la Museveni?
  Si dhani kama Museveni anahusika hapa mkuu.
   
 10. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hii habari niliisoma mwanzo wa mwaka jana, wanamzungumzia Kemigisha wa Tooro royal family kama sikosei.
   
 11. K

  Kwaminchi Senior Member

  #11
  Feb 20, 2009
  Joined: Dec 30, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Mimi nafikiri jibu zuri juu ya kashfa hii, kama ni kweli, ni lile alilotoa Rais Obama wa Marekani. Alipoulizwa, mbona wengi katika wale uliowateua wana kashfa za kodi na/au mambo mengine?

  Akasema, "nikitafuta kuwateua wasiokuwa na kashfa ya aina yoyote, nitakuwa sina wa kumteua."

  Kila mwanamume mwenye afya njema haachi kummezea mate mwanamke aliyekuwa halali yake. Kuwa alimwendea au hakumwendea haya ni msuala nyeti, si lazima wote wajue. Wanasema, "usilolijua ni usiku wa kiza."
   
Loading...