Gadafi anafaa kuiongoza afrika kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gadafi anafaa kuiongoza afrika kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Exaud J. Makyao, Feb 3, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rais Muamar Gadafi kachaguliwa kuwa mkuu wa Umoja wa afrika.Hivi kweli anafaa kuiongoza Afrika wakati nchi yake inamshinda?Kwani kuwa mkuu wa Umoja wa Afrika kunahitaji sifa gani?Au hakuna kigezo?Mimi sijui.
   
 2. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi nina wasiwasi kama alichaguliwa na watu wenye kuona mbali? Raisi wa Africa anatakiwa mtu mwenye maono ya kufikiria mbali sio kama huyu Mzee Gadaf. Au ni ile imani kwamba ukishakuwa raisi wa nchi yoyote hata iwe imekushinda unaweza kupewa cheo kilichopo juu ya uraisi wa nchi ambao mimi naona ni kuwa Rais wa Bara au muunganiko wa nchi zaidi ya moja kama jumuia ja Africa Mashariki. Tusikubali hali hiyo.
   
 3. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  gadaffi hana sfa za kuwa kiongozi; ukuacha alyoyasema siku nyingi nyuma hebu kumbuka aliyoyasema Uganda wakati akizindua msikiti pale Kampaala. Eti Mugabe na Museveni wanastahili waendelee kutawala hadi wafie madarakani na pia kwamba dini ya kweli ni Uisilamu pekee kwani ukiristo ni ya uongo. Hatutaki kiongozi ambaye ni Immotional kwani aliyasema hayo kwavile tu yeye ni Muimla (dikteta) kama Mu7 na Mbabe na pia ni Muislam.
   
 4. Piemu Esquire

  Piemu Esquire Member

  #4
  Feb 3, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhache acha mambo hayo kwani unaujua upeo wake Gadaffi ?AU unasimamia kwenye propaganda za Mwalimu bado.Uliwahi kusikia Libya ikiomba misaada?Kuingia kwenye janga la njaa?AU Vita?Libya is economically stable country in Africa.Sasa unataka nini.Ukiingia mjini Tripoli na Vijiji vinvyouzunguka mji wa Bengaz huwezi ona tofauti.Isitoshe wako wapi waarabu wa kutoka Libya wanaohangaika na umachinga Karakoo?Mbona Mwenyekiti aliyetoka hakuonyesha upeo wowote?Mwacheni Colonel Gaddafi alete Mungano wa kweli Afrika ,Ndoto ambayo wengi wa marais wenye uchu wa madaraka walishindwa kuuleta.
  Ni kiongozi asiye na makuu tena ni mcha Mungu.Pale Addis wakati viongozi wengine wanavinjari na vimwana vyao kwenye mahoteli ya kitalii,Yeye yuko kwnye hema lake akimwomba Mungu.Wengine wakikwea midege ya gharama mwenzao anakatiza kwa msafara wa magari kurdi nchini kwake.Ni mara ngapi umesikia Colonel Gaddafi akizurura zurura kwenye nchi za kigeni kuomba omba misaada kwa ajili ya nchi yake?Nina imani kuwa akishika uenyekiti mbali ya kuunganisha bara la Afrika pia atahakikisha vita barani pamoja na njaa vinatokomezwa haraka.
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Gaddafi siku zote anaongozwa na maono yake binafsi. Kumbuka kuwa ndiye aliyewahifadhi na kutoa mafunzo ya kijeshi kwa baadhi ya madikteta na watawala kati katika Afrika kama vile Charles Tylor.

  Siamini kama Gaddafi ana maono yoyote kwa ustawi wa Afrika zaidi ya kutaka kuwa Mfalme wa Afrika
   
 6. N

  Nyari Member

  #6
  Feb 3, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 48
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  real ,That an old senior Cornel can not lead today africa! we need New Leader with current vission to lead africa not a man in transition to lead Africa.
   
 7. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani inategemea hapo kuhusu hilo swala maana inawezekana anaweza kuwa anafaaa maana nchi yake ipo sehemu nzuri sana na anafanya vitu vingi na vya maana zaidi so anaweza kuingoza africa au sijui kuna kiongozi mwingine anayeweza kufaa hapo??
   
 8. Freddy81

  Freddy81 Member

  #8
  Feb 3, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  I think he can, cause the important issue is not his age or his past, is what the most african need to see one day, that the Africa will trully Unite, And he have at least shown that he have an idea, Who realy you think can fit? For me Its rirght time 4 him to be our African Leader
   
 9. Freddy81

  Freddy81 Member

  #9
  Feb 3, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio kweli kaka,Gadaf hajashindwa katika Nchi yake, Tumunge mkono jamani, Huyu mzee ana mawazo mazuri sana, ni kiongozi gani aliyebaki afrika mwenye nia ya kuiona Africa inakuwa taifa moja lenye nguvu, bila shaka ni Gadaf! Msichukulie ugomvi wake na mataifa ya Kimagharibi ndo sababu ya kudissgrade, hata hivyo amekwisha elewana nao, lakini kuhusu kuongoza nchi yake amefanikwa sana. au nikupe mifanio mzee
   
 10. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 60
  Wengi wamemchukia alipousema vibaya Ukristo na sio zaidi ya hapo, hayo mengine ni propaganda tu, kuficha ukweli wa chuki kuwa ni kutokana na kuusema vibaya dini yao.
  Kwa viongozi wa kiafrika walioongoza vema yeye ni mmoja wapo, tena mzowefu wa masuala ya kimataifa. amewahi kushika uongozi wa OAU mara kibao sasa alipopata AU sio mbaya, anastahili na anaweza.
   
 11. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yangu macho na masikio.Kama amewahi kusema dini za wengine vibaya,Nahisi kama Afrika haiko kwenye mikono sahihi.
  Naiombea heri Afrika.
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280

  Huyu hafai kuongoza Afrika kwa sababu ni dikteta aliyeng'ang'ania madarakani miaka chungu nzima sasa. Sijui viongozi wa Afrika walikuwa wanafikiria nini walipomteua dikteta kuwa Mwenyekiti wa AU.
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Aliongoza Amini, itakuwa Gadafi?
   
 14. B

  Balingilaki Member

  #14
  Feb 3, 2009
  Joined: Aug 2, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakuonea huruma sana

  kwani kikwete alikuwa anaweza au amewza kuiongoza tanzania

  mbona alikuwa rais wa AU
   
 15. B

  Balingilaki Member

  #15
  Feb 3, 2009
  Joined: Aug 2, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kadri yako dikteta ni nani,,,unafuata mfumo wa magharibi nini
   
 16. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Alaa,
  Kwani Kikwete ameshindwa nini?
  Amani tele, uhuru wa kusema, mfumuko wa bei uko chini, n.k.
   
 17. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kama Kikwete ameweza kuongoza, kwanini Gadafi ashindwe?
   
 18. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  hafai, yaani hastahili
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280
  Kiongozi yeyote asiyetaka kuruhusu mabadiliko ya juu katika uongozi wa nchi yake ni dikteta. Mu7 na Ghadaffi wote ni madikteta ambao hawataki kuachia madaraka. Viongozi kama hawa ni waroho wa madaraka.
   
 20. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Let's give the man a chance to prove himself.
  Let's see what he will do about
  Mugabe-Zimbabwe
  Bashir-Sudan
  Congo crisis?
  Somalia??
  Let's see if he will come up with new ideas and solutions.

  That, Gaddafi, has nurtured an overt ambition to be the first african head Or to be the head of all Africa countries united is clear.

  Let us hope that in his quest to realise his dream, the trickle down effect might have benefits for that all African countries. Unity, end of ceaseless wars, enough food, sincere fight against Malaria, and AIDs. This is my Utopia.
  Let's wait and see...
   
Loading...