soma namna walinzi wake walivyoamriwa kuuwa kwa kuwapiga risasi watu wakiwa wamefungwa kamba miguuni siku mbili kabla tripoli haijakombolewa ndio utaona hiyo adhabu ilikuwa ndogo kwa GADAFFHata mnyama hastahili kufanyiwa alichofanyiwa Col. Ghadafi, tena hadharani.
Imagine your father in such humiliation kisa maagizo ya NATO-Rebel regime?
RIP Colonel Ghadafi.