na mimi nimeona utafikiri amekaria msumari, mtangaji wa kichina akiwa anamsaadia kwa kusema " i see your point"LIVE GABRIEL ZAKARIA Mtangazaji wa TBC-1 akiwa LIVE CCT kuzungumzia masuala ya Ushirikiano wa CHina na Afrika.
Kwa kweli TBC Jamani wawe makini wanapotuma mtangazaji katika mashirika ya Kimataifa..Gabriel anaweza kufikiri lakini kuweza kuweka sentensi vizuri ya kiingereza ni tabu sana...anaonekana kama mtu amaeumia nafsini katika kuongea ili asichmshe..inasikitisha sana.
Kijana ni mzuri sana kama mjadala ungekuwa kwa kiswahili.
acha wivu.
Kiongozi shida sio kiingereza tu, hata kufiukisha ujumbe wenye lugha butu unaweza usieleweke..wachna wenyewe hawajui Kiingereza Vizuri lakini inapofika kwenye masuala yanayohitaji umakini, tujaribu kuwangalia wenzetu, wanapeleka watu makini.Jamani mbona wazungu wakikosea kiswahili hatushangai.Lakini sisi tunavyokosoana mpaka aibu ungewekwa wewe tuone chako.
Kiongozi shida sio kiingereza tu, hata kufiukisha ujumbe wenye lugha butu unaweza usieleweke..wachna wenyewe hawajui Kiingereza Vizuri lakini inapofika kwenye masuala yanayohitaji umakini, tujaribu kuwangalia wenzetu, wanapeleka watu makini.
Vituko vya SCC?? Ni pale tunapompa Kaseja apige Penalti ambayo ingetupatia ushindi yeye analeta mzahaa!!
mkuu hata mimi nimeona hili tatizo sio kiingereza kibaya tatizo ni point alizotoa kwamba africa tunategeme china na hutuwezi lolote bila china hili tusi kwetu, china wametusaidia kwenye infrastructure its true lakini angalia barabara zilizojengwa hao watu hazina uimara wowote in short china kwa africa ni mzigo tu wametuweka sisi kama dampo la kutupa takataka. huyu jamaa alivyowasifia utazani kweli tunafaidika
LIVE GABRIEL ZAKARIA Mtangazaji wa TBC-1 akiwa LIVE katika Chinese Central Television (CCTV) kuzungumzia masuala ya Ushirikiano wa China na Afrika.
Kwa kweli TBC Jamani wawe makini wanapotuma mtangazaji katika mashirika ya Kimataifa..Gabriel anaweza kufikiri lakini kuweza kupangilia sentensi vizuri ya kiingereza ni tabu sana...
Kijana ni mzuri sana kama mjadala ungekuwa kwa kiswahili.
mkuu hata mimi nimeona hili tatizo sio kiingereza kibaya tatizo ni point alizotoa kwamba africa tunategeme china na hutuwezi lolote bila china hili tusi kwetu, china wametusaidia kwenye infrastructure its true lakini angalia barabara zilizojengwa hao watu hazina uimara wowote in short china kwa africa ni mzigo tu wametuweka sisi kama dampo la kutupa takataka. huyu jamaa alivyowasifia utazani kweli tunafaidika
Jamani mbona wazungu wakikosea kiswahili hatushangai.Lakini sisi tunavyokosoana mpaka aibu ungewekwa wewe tuone chako.