Gabriel Mwita wa CHADEMA anataka tu aendelee kula pesa za Abdul na si vinginevyo.Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?
huyo muungwana,Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?
Nina swali moja Kwa huyu kada wa CHADEMA Gabriel Mwita , Je Gabriel Mwita unataka Nini?.
Kwanza, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu maamuzi ya kupitishwa kwa tamko la no reforms no election yalifanywa na vikao vyote halali vya Chama. Kuanzia Kamati kuu, Baraza Kuu na hatimaye Mkutano Mkuu wa Chama. Leo mnataka Chama kubadilisha maamuzi yake kisa wanachama 55 wanataka kugombea ubunge na udiwani?. Yani shida yako ni kugombea ubunge bila kuangalia mapungufu ya kwenye mfumo wetu wa uchaguzi. Haya bwana.
pili, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu uligombea ubunge Musoma mjini mwaka 2020 na unajua ulichofanyiwa kwenye ule uchaguzi ukaanguka. Ikumbukwe Musoma mjini ndio Jimbo pekee Tanzania Bara ambapo Rais Magufuli alipata kura chache zaidi kuliko majimbo mengine yani asilimia 55 tu ya kura na hapo ni baada ya kuiba Sana.
Wewe mwenyewe Gabriel ulilalamika kuchezewa faulo na CCM, lakini leo nashangaa unataka kugombea ubunge kwenye mazingira yale yale. Najiuliza shida ni nini?. Ni kweli unataka kugombea ubunge au una jambo lako mwenyewe moyoni baada ya kuwekwa pembeni na chama? Maana watu wanakupigania upate nafasi nzuri ya kushiriki uchaguzi katika mazingira bora yenye haki ila wewe una wakebehi na kuwaona hawafai.
Haya bwana.
Tatu, nakuuliza wewe Gabriel Mwita unataka nini maana mwaka 2024 kulikuwa na shinikizo la CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, ila baadae Kamati Kuu chini ya Mh Mbowe ikapitisha azimio la kushiriki uchaguzi ule. Wewe mwenyewe ni shahidi kwa yaliyotokea, sina haja ya kuongea maana yalikuwa wazi. Je mnataka turudi huko?
Na nikuambie tu mkishiriki uchaguzi huu, dola itawabamiza hakuna na hakuna atakayewaonea huruma mkisiginwa na dola maana mnashiriki uchaguzi huku mkijua matokeo yake ni yepi. Sasa hiyo ni akili au matope? Unaenda kushiriki uchaguzi ambao unajua kushinda ni ndoto kutokana na mazingira mabovu.Kama unashiriki uchaguzi ilimradi ushiriki na sio kushinda kazi kwako bwana Gabriel Mwita.
Mwisho naomba nikushauri mambo matau yafuatayo Ndugu Gabriel Mwita:
1. Kama unataka kukijenga chama na kuwa kiongozi mkubwa wa chama huko mbeleni, Jenga tabia ya kuheshimu vikao vya chama. Vikao vyote halali vimekubali chama kisishiriki uchaguzi mkuu kama hakuna mabadiliko kwenye madhaifu yaliyopo kwenye sheria na mfumo wa uchaguzi Tanzania. Inakuaje leo unalazimisha chama kubadilisha mwelekeo ghafla baada ya Mkutano Mkuu kuridhia?. Huo ni utovu wa nidhamu na kiburi.
2. Kama unataka kugombea ubunge na unaona una ushawishi wa kushinda , tafuta chama kinachokubalika hata CCM , NCCR kagombee, maana kugombea ni haki yako siyo lazima iwe CHADEMA. Kuendelea kulazimisha unataka ugombeee kupitia CHADEMA huku ukijua kwa Sasa chama kinapambania mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi inaonesha wewe una lako jambo kama sio kirusi ndani ya chama.
3. Kama unaona Chama kilifanya maamuzi yasiyo sahihi , nafasi uliyonayo ni kuomba mkutako mkuu wa dharura kupitia njia ya kikatiba ambapo Jambo lako litajadiliwa na likionekana ni la msingi chama kitabadilsha msimamo na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
kwa kukuaga tu, nakushauri ya kwamba usiongee yote ukamaliza maana kwenye siasa hujui litatokea nini kesho. Leo waweza kuona sifa kwa kumshambulia Mh. Lissu ila kesho mamlaka yaweza kukubaliana na hoja za Lissu na kukaa meza moja kubadilisha mfumo wote wa uchaguzi, mtafanyaje?
Kesho nitajibu hoja zako zote ulizitoa kwenye press ya leo.
Asante
huyo muungwana,
ni miongoni mwa wanachadema waandamizi wenye ushawishi mkubwa zaidi ndani ya Chadema aliefanikisha no reform no elections kupuuzwa kabisa miongoni mwa wanachadema hususan watangaza nia za kugombea urais,ubunge na udiwani.
Infact ,
ndie aliemlazimisha hata Lisu kutangazwa kua miongoni mwa wanachadema waandamizi waliotangaza nia za kugombea urais Uchaguzi mkuu wa October,
na kuifanya useless no reform no elections kua completely nonsense, null and void kuanzia sasa kuelekea Uchaguzi mkuu π
Gabriel Mwita haogopi uchaguzi.CHADEMA ili mpate dola lazima mshiriki uchaguzi na kuchaguliwa.Ni chama mfu tu kinachoogopa uchaguzi kwa visingizio vya kitotoGabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?

Soma Pia: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi
kwa kukuaga tu, nakushauri ya kwamba usiongee yote ukamaliza maana kwenye siasa hujui litatokea nini kesho. Leo waweza kuona sifa kwa kumshambulia Mh. Lissu ila kesho mamlaka yaweza kukubaliana na hoja za Lissu na kukaa meza moja kubadilisha mfumo wote wa uchaguzi, mtafanyaje?
Kesho nitajibu hoja zako zote ulizitoa kwenye press ya leo.
Asante
Sikio la kufa halisikii dawa.Na nikuambie tu mkishiriki uchaguzi huu, dola itawabamiza hakuna na hakuna atakayewaonea huruma mkisiginwa na dola maana mnashiriki uchaguzi huku mkijua matokeo yake ni yepi. Sasa hiyo ni akili au matope? Unaenda kushiriki uchaguzi ambao unajua kushinda ni ndoto kutokana na mazingira mabovu.
waisome mamluki wote wote waliopo CDM nakazia hapaGabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?
Nina swali moja Kwa huyu kada wa CHADEMA Gabriel Mwita , Je Gabriel Mwita unataka Nini?.
Kwanza, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu maamuzi ya kupitishwa kwa tamko la no reforms no election yalifanywa na vikao vyote halali vya Chama. Kuanzia Kamati kuu, Baraza Kuu na hatimaye Mkutano Mkuu wa Chama. Leo mnataka Chama kubadilisha maamuzi yake kisa wanachama 55 wanataka kugombea ubunge na udiwani?. Yani shida yako ni kugombea ubunge bila kuangalia mapungufu ya kwenye mfumo wetu wa uchaguzi. Haya bwana.
pili, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu uligombea ubunge Musoma mjini mwaka 2020 na unajua ulichofanyiwa kwenye ule uchaguzi ukaanguka. Ikumbukwe Musoma mjini ndio Jimbo pekee Tanzania Bara ambapo Rais Magufuli alipata kura chache zaidi kuliko majimbo mengine yani asilimia 55 tu ya kura na hapo ni baada ya kuiba Sana.
Wewe mwenyewe Gabriel ulilalamika kuchezewa faulo na CCM, lakini leo nashangaa unataka kugombea ubunge kwenye mazingira yale yale. Najiuliza shida ni nini?. Ni kweli unataka kugombea ubunge au una jambo lako mwenyewe moyoni baada ya kuwekwa pembeni na chama? Maana watu wanakupigania upate nafasi nzuri ya kushiriki uchaguzi katika mazingira bora yenye haki ila wewe una wakebehi na kuwaona hawafai.
Haya bwana.
Tatu, nakuuliza wewe Gabriel Mwita unataka nini maana mwaka 2024 kulikuwa na shinikizo la CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, ila baadae Kamati Kuu chini ya Mh Mbowe ikapitisha azimio la kushiriki uchaguzi ule. Wewe mwenyewe ni shahidi kwa yaliyotokea, sina haja ya kuongea maana yalikuwa wazi. Je mnataka turudi huko?
Na nikuambie tu mkishiriki uchaguzi huu, dola itawabamiza hakuna na hakuna atakayewaonea huruma mkisiginwa na dola maana mnashiriki uchaguzi huku mkijua matokeo yake ni yepi. Sasa hiyo ni akili au matope? Unaenda kushiriki uchaguzi ambao unajua kushinda ni ndoto kutokana na mazingira mabovu.Kama unashiriki uchaguzi ilimradi ushiriki na sio kushinda kazi kwako bwana Gabriel Mwita.
Mwisho naomba nikushauri mambo matau yafuatayo Ndugu Gabriel Mwita:
1. Kama unataka kukijenga chama na kuwa kiongozi mkubwa wa chama huko mbeleni, Jenga tabia ya kuheshimu vikao vya chama. Vikao vyote halali vimekubali chama kisishiriki uchaguzi mkuu kama hakuna mabadiliko kwenye madhaifu yaliyopo kwenye sheria na mfumo wa uchaguzi Tanzania. Inakuaje leo unalazimisha chama kubadilisha mwelekeo ghafla baada ya Mkutano Mkuu kuridhia?. Huo ni utovu wa nidhamu na kiburi.
2. Kama unataka kugombea ubunge na unaona una ushawishi wa kushinda , tafuta chama kinachokubalika hata CCM , NCCR kagombee, maana kugombea ni haki yako siyo lazima iwe CHADEMA. Kuendelea kulazimisha unataka ugombeee kupitia CHADEMA huku ukijua kwa Sasa chama kinapambania mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi inaonesha wewe una lako jambo kama sio kirusi ndani ya chama.
3. Kama unaona Chama kilifanya maamuzi yasiyo sahihi , nafasi uliyonayo ni kuomba mkutako mkuu wa dharura kupitia njia ya kikatiba ambapo Jambo lako litajadiliwa na likionekana ni la msingi chama kitabadilsha msimamo na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Soma Pia: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi
kwa kukuaga tu, nakushauri ya kwamba usiongee yote ukamaliza maana kwenye siasa hujui litatokea nini kesho. Leo waweza kuona sifa kwa kumshambulia Mh. Lissu ila kesho mamlaka yaweza kukubaliana na hoja za Lissu na kukaa meza moja kubadilisha mfumo wote wa uchaguzi, mtafanyaje?
Kesho nitajibu hoja zako zote ulizitoa kwenye press ya leo.
Asante
useless, nonsense, null and void agenda πNO REFORMS NO ELECTION
we shall seeuseless, nonsense, null and void agenda π
Yes,we shall see
Unatapqtapa tu huna hoja.huyo muungwana,
ni miongoni mwa wanachadema waandamizi wenye ushawishi mkubwa zaidi ndani ya Chadema aliefanikisha no reform no elections kupuuzwa kabisa miongoni mwa wanachadema hususan watangaza nia za kugombea urais,ubunge na udiwani.
Infact ,
ndie aliemlazimisha hata Lisu kutangazwa kua miongoni mwa wanachadema waandamizi waliotangaza nia za kugombea urais Uchaguzi mkuu wa October,
na kuifanya useless no reform no elections kua completely nonsense, null and void kuanzia sasa kuelekea Uchaguzi mkuu π
Hawatofanikiwa awamu hiiKwenye vyama vya siasa kuna wasaliti/usalama wa kufanya au kutoa kauli zinazo kingana na chama chao. Hawa wasaliti wapo kila kona ya kazi na jumuiya ili kuleta kauli tata ya kuwa changanya watu wenye msimamo mmoja na kuwatoa kwenye huo msimamo.
Huyo kaondoshwa ndiyo malalamiko mbona kabla ya hayo hajawahi kusema?Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?
Nina swali moja Kwa huyu kada wa CHADEMA Gabriel Mwita , Je Gabriel Mwita unataka Nini?.
Kwanza, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu maamuzi ya kupitishwa kwa tamko la no reforms no election yalifanywa na vikao vyote halali vya Chama. Kuanzia Kamati kuu, Baraza Kuu na hatimaye Mkutano Mkuu wa Chama. Leo mnataka Chama kubadilisha maamuzi yake kisa wanachama 55 wanataka kugombea ubunge na udiwani?. Yani shida yako ni kugombea ubunge bila kuangalia mapungufu ya kwenye mfumo wetu wa uchaguzi. Haya bwana.
pili, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu uligombea ubunge Musoma mjini mwaka 2020 na unajua ulichofanyiwa kwenye ule uchaguzi ukaanguka. Ikumbukwe Musoma mjini ndio Jimbo pekee Tanzania Bara ambapo Rais Magufuli alipata kura chache zaidi kuliko majimbo mengine yani asilimia 55 tu ya kura na hapo ni baada ya kuiba Sana.
Wewe mwenyewe Gabriel ulilalamika kuchezewa faulo na CCM, lakini leo nashangaa unataka kugombea ubunge kwenye mazingira yale yale. Najiuliza shida ni nini?. Ni kweli unataka kugombea ubunge au una jambo lako mwenyewe moyoni baada ya kuwekwa pembeni na chama? Maana watu wanakupigania upate nafasi nzuri ya kushiriki uchaguzi katika mazingira bora yenye haki ila wewe una wakebehi na kuwaona hawafai.
Haya bwana.
Tatu, nakuuliza wewe Gabriel Mwita unataka nini maana mwaka 2024 kulikuwa na shinikizo la CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, ila baadae Kamati Kuu chini ya Mh Mbowe ikapitisha azimio la kushiriki uchaguzi ule. Wewe mwenyewe ni shahidi kwa yaliyotokea, sina haja ya kuongea maana yalikuwa wazi. Je mnataka turudi huko?
Na nikuambie tu mkishiriki uchaguzi huu, dola itawabamiza hakuna na hakuna atakayewaonea huruma mkisiginwa na dola maana mnashiriki uchaguzi huku mkijua matokeo yake ni yepi. Sasa hiyo ni akili au matope? Unaenda kushiriki uchaguzi ambao unajua kushinda ni ndoto kutokana na mazingira mabovu.Kama unashiriki uchaguzi ilimradi ushiriki na sio kushinda kazi kwako bwana Gabriel Mwita.
Mwisho naomba nikushauri mambo matau yafuatayo Ndugu Gabriel Mwita:
1. Kama unataka kukijenga chama na kuwa kiongozi mkubwa wa chama huko mbeleni, Jenga tabia ya kuheshimu vikao vya chama. Vikao vyote halali vimekubali chama kisishiriki uchaguzi mkuu kama hakuna mabadiliko kwenye madhaifu yaliyopo kwenye sheria na mfumo wa uchaguzi Tanzania. Inakuaje leo unalazimisha chama kubadilisha mwelekeo ghafla baada ya Mkutano Mkuu kuridhia?. Huo ni utovu wa nidhamu na kiburi.
2. Kama unataka kugombea ubunge na unaona una ushawishi wa kushinda , tafuta chama kinachokubalika hata CCM , NCCR kagombee, maana kugombea ni haki yako siyo lazima iwe CHADEMA. Kuendelea kulazimisha unataka ugombeee kupitia CHADEMA huku ukijua kwa Sasa chama kinapambania mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi inaonesha wewe una lako jambo kama sio kirusi ndani ya chama.
3. Kama unaona Chama kilifanya maamuzi yasiyo sahihi , nafasi uliyonayo ni kuomba mkutako mkuu wa dharura kupitia njia ya kikatiba ambapo Jambo lako litajadiliwa na likionekana ni la msingi chama kitabadilsha msimamo na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Soma Pia: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi
kwa kukuaga tu, nakushauri ya kwamba usiongee yote ukamaliza maana kwenye siasa hujui litatokea nini kesho. Leo waweza kuona sifa kwa kumshambulia Mh. Lissu ila kesho mamlaka yaweza kukubaliana na hoja za Lissu na kukaa meza moja kubadilisha mfumo wote wa uchaguzi, mtafanyaje?
Kesho nitajibu hoja zako zote ulizitoa kwenye press ya leo.
Asante
Gentleman,Unatapqtapa tu huna hoja.
Huyo mpuuzi tunampuuza na tutamshughulikia muda muafaka ukifika. Hawa wachumia tumbo wamekihujumu chama kwa muda mrefu sana
lakini Chadema huwa wanasema kutoa maoni tofaut ni haki,Kwenye vyama vya siasa kuna wasaliti/usalama wa kufanya au kutoa kauli zinazo kingana na chama chao. Hawa wasaliti wapo kila kona ya kazi na jumuiya ili kuleta kauli tata ya kuwa changanya watu wenye msimamo mmoja na kuwatoa kwenye huo msimamo.